mfumo wa nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NIDA online unatakiwa kufanyiwa maboresho, hakuna uwiano kwa nyaraka zinazotakiwa humo na zile unazotakiwa kuwasilisha ofisini kwao

    Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu changamoto ninayokutana nayo katika mchakato wa kupata huduma ya Kitambulisho cha Taifa kupitia mfumo wa NIDA Online katika Ofisi ya NIDA Tarime. Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo wa NIDA Online kwa kujaza taarifa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 INEC: Mfumo wa TEHAMA wa INEC umeunganishwa (Interphase) na Mfumo wa NIDA ili kuboresha utendaji

    Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa stars haiunganishwi kwenye mfumo wa NIDA ili ishinde Kwa Chama chetu

    Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli
  4. JamiiForums Tanzania Kuna shida katika mfumo wa NIDA online?

    Wakuu, toka juzi najaribu kuangalia namba ya nida kwa kuingiza details husika lakini inaniambia taarifa zimekosewa wakati ziko sahihi. Nilikuwa najaribu kupata namba ya nida ya mdogo wangu. Sasa nikaona isiwe tabu ngoja niangalie kama yangu itakubali maana mimi tayari nina kitambulisho na mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…