Kwanini Taifa stars haiunganishwi kwenye mfumo wa NIDA ili ishinde Kwa Chama chetu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi

Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli
 
Watu mna hasira sana na Gavoo nadhani kuna umuhimu wa kufanya reforms
 
Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi

Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli
We jamaa umelewa viroba
 
labda hiyo tume iwe na VAR iliyounganishwa na BVR zao mjuba
 
20250821_194719.jpg
 
Tazama Hawa nyumbu hapa walidhani mpira ni kama siasa wanavyoiba matokeo kwenye mifumo ya NIDA,kalagabaho
 
Attachments

  • gwamakambughi-20250822-0001.jpg
    gwamakambughi-20250822-0001.jpg
    234.8 KB · Views: 27
Tatizo ni yule mzinzi sijui mnzize Mchezaji wa utopolo kazoea kucheza mechi za mchangani kabaki na kipa anaanza kutetemeka
Tatizo ni CCM na raisi wenu.bora mmetolewa kenge maji nyie mngeshinda mngeleta kelele mara sijui juhudi za mpumbavu gani wa kizimkazi. Hata lile la mkorogo jana lilikuwepo uwanjani likaanza kuropoka kwa juhudi z serikali. Shwain
 
Back
Top Bottom