Kwanini Taifa stars haiunganishwi kwenye mfumo wa NIDA ili ishinde Kwa Chama chetu

Kwanini Taifa stars haiunganishwi kwenye mfumo wa NIDA ili ishinde Kwa Chama chetu

Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi

Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli
Haha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 haaaaaaaaaaaa.
 
Tatizo ni CCM na raisi wenu.bora mmetolewa kenge maji nyie mngeshinda mngeleta kelele mara sijui juhudi za mpumbavu gani wa kizimkazi. Hata lile la mkorogo jana lilikuwepo uwanjani likaanza kuropoka kwa juhudi z serikali. Shwain
Majizi ya Ccm na nyie Nyumbu wa chadema tofauti yenu mmoja hana madaraka ila ni walewale madikteta uchwara
 
Hivi ACT na CHAUMA bado wanajiaminisha watashinda kwa abrakadabra hizi za mifumo kusomana?
Wote wale dugu moja na ccm, watazuga hawajamsikia polepole na kuendelea na kampeni hahahhhaaa
Nilikuwa nashangaa chauma wamepata wapi pesa za hamasa hadi kutumia kumbi kubwa kwenye mikutano dah nchi yetu hii
 
Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi

Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli

Naona muunganishaji alikuwa Likizo​

 
Back
Top Bottom