mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Faida za mkopo wa muda mrefu na mfupi

    Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8. Nilikuwa naomba mawazo yenu kuhusu faida za mkopo wa muda mrefu na muda mfupi ingawa nafahamu kuwa changamoto kubwa ya mkopo wa...
  2. Christiano Ronaldo na Lionel Messi wote wamepost picha hii Kwa pamoja , comments zimevunja record ndani ya mda mfupi

  3. J

    Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia kwa kutembelea nchi 22 kwa awamu 25 kwa muda mfupi ndio sababu ya kuimarika huku kwa Uchumi wa Tanzania

    Dar es Salaam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa Taifa ikiwemo kufungua matumaini mapya, furaha na mwanga wa maendeleo kwa wananchi. Shaka ametoa...
  4. Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

    Kwa mda wa miaka mitano tu Kila mmoja kaonja joto la jiwe, si mkuli, si graduate, si mfanyabiashara, mwajiliwa wa serikali na binafsi. Wote tulikuwa tunasubili Kila siku matamko yake tu as if nchi haikuwa na binge tena Wala sheria. Nchi ilikuwa imepatwa. Sasa lazima awe reference ya viongoxi...
  5. Niliuza nyumba yangu nikawekeze Kalynda, nikiamini baada ya muda mfupi ningerudi kuinunua tena. Nyumba imeenda, hela imeenda

    Wahenga walisema tamaa iliua fisi. Nyumba imeenda, pesa imeenda. Sijui niwalaumu Brela, sijui niwalaumu Usalama wa taifa? Sijui nimlaumu yule dada aliyekuja kunishawishi? Mshana Jr, nitafutie ndumba ya kuwafuta wote waliosababisha niwe zuzumagic, mpenda miujiza, niliyejawa na tamaa ya fedha na...
  6. Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

    Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha. ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao...
  7. SoC02 Kilimo cha mazao ya muda mfupi

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao mashambani na ufugaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku, Bata, nguruwe na kondoo. Kwa nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania kilimo ndiyo sekta muhimu kwani ndio uti wa mgongo kwa uchumi wetu, kwani ni miongoni mwa sekta ambazo zinachangia pato la taifa na ni...
  8. Waraka mfupi wa kuelimisha kuhusu sensa ya watu na makazi 2022

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  9. Abraar Education Centre Mafunzo tofauti ya muda mfupi

    Hapa Abraar Education Centre tunatoa mafunzo yafuatayo kwa vitendo... 1) Mafunzo ya kuunda vifaa vya ujenzi (masonry). 2) Mafunzo ya ujenzi (masonry). 3) Mafunzo ya lugha ya Kingereza (Engloish language). 4) Mafunzo ya ya Lugha ya Kiarabu (Arabic language). Na hivi karibuni mafunzo ya...
  10. K

    Utafiti binafsi: Ukitegesha alarm usiku lazima uamke muda mfupi kabla ya alarm kulia

    Hili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini
  11. Rasmi: Simba wamtangaza Mreno Zoran Manojlovic kuwa kocha wao mkuu

    Wameandika mwenye mafanikio yake amefika. Ingawa watu wengi wanahisi atatangazwa Manzoki lakini inadaiwa kuwa atatangazwa kocha raia wa Ureno. Tusubiri hapa mbivu na mbichi === Confirmed Zoran ni 𝗠𝗑𝗬𝗔𝗠𝗔 🦁 Kwa furaha kubwa tunapenda kumtangaza kocha wa makombe, Zoran Manojlovic...
  12. Shinyanga: Basi la shule laua Mwanafunzi muda mfupi baada ya kumshusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
  13. Leo bado nusu nipigwe na mtu mfupi

    Leo nilikua sehem fulani asa nilikua nimekaa kwenye kiti wakati nimekaa nikawa naweka kitu kwenye meza iliokua nyuma yangu bila kugeuka kuangalia kwanza πŸ˜‚ Kumbe karibu na ile meza kulikua na kaka mmoja mfupi si nikamgusa kichwani, acha apige kelele "wee dada kua makini" mi nikamwambia samahani...
  14. Shirika la kijasusi la Urusi, FSB limesema Warusi walio ondoka Urusi watimia milioni 4 ndani ya muda mfupi - hakukaliki

    Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu.... FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin...
  15. Aishi Manula akatwa na kioo mkononi muda mfupi kabla ya mechi dhidi ya Geita Gold

    Kipa wa Simba, Aishi Manula amepata majeraha ya kukatwa na kioo kwenye mkono akiwa katika vyumba vya kubadilishia nguo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu hiyo dhidi ya Geita Gold, leo Mei 22, 2022. Tukio hilo limetokea wakati Manula akiwa ni mmoja wa...
  16. NBS hawajazingatia vigezo vya human machine interaction katika mfumo wa uombaji wa kazi za muda mfupi za Sensa

    NBS wanawachezea akili Watanzania kwa kutumia uelewa wao mdogo katika mambo ya Technology na Haki za Watumiaji wa Mifumo mbali mbali ya huduma. NBS wamefanya uhuni kwa kutozingatia vigezo vya Human Machine Interaction (Usability and User Experience (UX)) katika mfumo wao wa kuomba ajira za muda...
  17. Burudani: Freshley Mwamburi asherekea miaka 30 ya Stellah kurudi Kenya akiwa na mchumba Mjapani mfupi futi 4

    Rhumba icon Freshly Mwamburi, is celebrating 30 years after his girlfriend returned home from Japan with a new man. The veteran musician expressed his disappointment in his song 'Stella Wangu'. The record is a love/hate story wonderfully put together. And every year on May 17, Kenyans...
  18. Kelele za mafuta zingeelekezwa kwenye kilimo ningeelewa vingenevyo wote tuna tatizo la uono mfupi (myopic)

    Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana. Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa. TUNAKWAMA WAPI...
  19. Dkt. Slaa amefanya mahojiano kwa muda mfupi, CHADEMA wamebaki wamechanganyikiwa kabisa, hakika huyu ni kiboko yao

    Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka. Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA. Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa. Hakika huyu Dk siku...
  20. Uchunguzi wangu mfupi wa kitaa Uzunguni-unapingana na dhana ya kuwa 'Wazungu pekee ndio watu waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili'

    Nilipokuwa mdogo niliamini dhana ya kwamba.. i) Wazungu wote ni watu wenye waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili kuliko akina sisi wa kwa Mtogole na Buza kwa Mama Kibonge.. Kabla sijatembelea nchi za Ulaya niliamini dhana hii. Lakini baada ya kufika Ulaya na kusoma nao darasa moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…