Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo inadaiwa kuwa mzee huyo aliwasili Sumbawanga...
Nani anaikumbuka hii kesi ya mganga wa kienyeji aliyekamatwa na fisi? amehukumiwa leo.
Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31), maarufu kama Chief wa Kilulu, kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali aina ya...
Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa nawashangaa.
Fast forward 2020 mtoto alikuwa na matatizo flani ya kiafya, mama yake (mke wangu)...
Katika dunia inayojaa changamoto zisizokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, ndoto zilizokwama—watu hutafuta suluhisho kwa njia mbalimbali. Wapo wanaotumia akili zao kutafuta njia halisi za kujinasua, na wapo wanaotafuta muujiza wa papo kwa papo. Kundi la pili mara nyingi huishia...
Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema Januari 24, 2025, saa kumi na mbili jioni katika Kijiji cha Kilulu Kata ya Bunamala Tarafa ya Ntuzu wilayani Bariadi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi kazi cha kupambana na uhalifu, kilifanikiwa kumkamata Emmanuel John Maduhu (31), Msukuma na mganga wa kienyeji...
Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia.
Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye...
"Ooh ukienda huko utapewa jini litakalokusumbua baadae"
Anayesema hivyo ameambiwa atoe sadaka ya kujimaliza, anunue mafuta na maji na mchanga huku nabii wake akimuambia "usiogope, usiogope chochote" wakati yeye amezungukwa na mabaunsa na nje impaki gari ya milioni 250 inasumbiria kuondoka...
Inawezekana mganga kukunyanyua kimafanikio? Ni njia gani anayotumia ambayo yeye haitumii ili kufanikiwa au asili ya tiba haimruhusu kujiganga?
Mshana Jr LIKUD Nikifa MkeWangu Asiolewe na wengine wengi karibuni
Watu wawili wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria katika Kijiji cha Burere wilayani Rorya mkoani Mara huku wengine wawili wakiokolewa.
Tukio hilo limetokea juzi Jumapili Septemba 29, 2024 saa 11 jioni wakati watu hao wakiwa wanatoka Kijiji cha...
Uganga au uchawi ni karama ambayo MUNGU huwa anawapa watu na moja ya masharti ya karama hiyo usiitumie kujipatia PESA Ila acha MTU akipenda Kazi yako atakupa PESA.
Hivyo Mimi Mganga wangu alienifanya nitoboe na kupata Kazi ssehemu nzuri na kukalia hiki Kiti aliniomba elfu 3 tu.
Wakuu ukiona...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinatolewa kuwa aidha maiti zimefukuliwa kwa mganga wa kienyeji na maiti hizo unakuta ni za watu ambao walipotea na kutafutwa na ndugu, au mtu kafia kwa mganga na mtu huyo alitoweka akawa anatafutwa.
Polisi: Wafanyabiashara wawili waliodaiwa kupotea...
Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao kufanya vema zaidi ambapo walinyweshwa maji yaliyowafanya walegee na kupoteza maisha na kisha Mganga...
Haya mambo yanahitaji uchunguzi, na subira, huyu naye chadema walisema katekwa na polisi
=====
Jeshi la polisi mkoani Singida linawashikilia watu watatu akiwemo mganga wa kienyeji ambaye hajaweza kufahamika jina lake baada ya kutuhumiwa kumuua kijana samwaja na kumnyofoa baadhi ya viungo na...
Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana.
Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period, tukapanga akipona tupelekeane moto.
Kabla hajapona nikagundua baba yake ni mgangaél wa kienyeji,nilifuta namba siku hiyohiyo
Salama wakuu? Nina rafiki yangu amenipa tafakuri mno usiku huu.alikuwa anaumwa, amezunguka kwa mitume na manabii ila hakupona
....
Ajabu ameponea Tanga, tena kwa mganga wa kienyeji. Hii imekaaje?
Kwanini wengi waliopinga yeye kwenda upande wa pili wenyewe huenda kwa waganga pia?
Kwa nn hasa...
Wakuu hivi hawa waganga wa kienyeji Huwa Wana maneno matamu kiasi Gani yaani mtu mpaka anamtorosha mgonjwa wake hospitali ili ampeleke Kwa mtaalamu.
Cha ajabu zaidi ugonjwa wenyewe unakuta unatibika hospitali kwa gharama mdogo sana lakini akienda upande wa pili mwamba anapiga Hela na anauachia...
Habari wadau,
Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli.
Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
15 February 2024
Victoria, Seychelles
Kiongozi wa United Seychelles, chama kikuu cha upinzani, Dkt Patrick Herminie na mchawi wake kutoka Tanzania
Mahakama ya Ushelisheli mnamo Alhamisi ilifuta mashtaka yote ya watu watano kati ya wanane katika kesi ya uchawi iliyokuwa ikiendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.