Katika hali isiyo ya kawaida Mganga wa kienyeji Edward Mwansasu mkazi wa Kijiji Cha Ndubi Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulalamika juu ya kutapeliwa na mteje wake aliye mhudumia kwa kumpa dawa za biashara.
Mganga huyo amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wakati...
Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30.
Akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 53 ya Mwaka 2023, Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Njombe Matilda Kayombo...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi linamshikilia mganga wa kienyeji, Jalina Juma (45) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto, Yusufu Salumu (9), mkazi wa mtaa wa Rutamba Manispaa ya Lindi.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Pilly Mande alidai Julai Mosi, 2023...
Habarini ndugu wanaJF,
Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.
Binafsi nilikataa kulamba vitu...
Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake.
GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
Ndugu zangu maisha sio kutafutana, maisha ni kutafuta, mwanaume kama huna pesa, basi niseme maisha yako yatakua ya hovyo na utakufa ukiwa na uchungu sana..
Safari ni ndefu sana iliyojaa tabu shida na changamoto kubwa sana, nasema ukimuona tajiri ana pesa zake tafadhali mpe heshima yake bila...
JF SUMMARY
Jeshi la Polisi linamshikilia Sabihi Mpando, Mkazi wa Chipuputa kwa tuhuma za kumfanyia Ukatili wa Kingono Mgonjwa mwenye mwenye miaka 17 aliyekuwa akimtibu wakiwa Makaburini.
Kaimu Kamanda wa Polisi, Hamis Ramadhani, amesema, Mganga alimlaghai mwathirika na kwenda naye eneo la...
NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI
Anaandika, Robert Heriel
Loveboy
Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18!
Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Mganga wa kienyeji mkazi wa Majengo ya Mpanda mkoani Katavi, Akili Abakuki maarufu kama Jimmy (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwalawiti watoto sita wakati akiwapatia matibabu nyumbani kwake.
Kaimu wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo, Sylivester Ibrahim amesema mtuhumiwa...
Mganga mmoja wa tiba za kienyeji katika Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu amejitolea kwa gharama zake kujenga vyumba viwili vya madarasa ya kisasa, kuchimba kisima cha maji na kuweka umeme wa Sola kwenye shule mbalimbali wilayani humo.
Mganga huyo Ndabagija Katani amesema ameamua kufanya hivyo...
Mnakumbuka miaka kadhaa iliyo pita niliwahi kuanzisha Uzi kwamba nataka kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi?
Basi moja Kati ya sehemu nilizo kwenda ni Kwa mganga mmoja babu wa miaka themanini na ushee huko mkoani Lindi vijijini Alie sifika Kwa kuwa Na uwezo mkubwa WA kushindana Na wachawi...
Nilijenga msingi mzuri wa imani yangu kwa Mungu, kuwa ndio anayeweza kunitoa kwenye hili dimbwi la kukosa kipato licha ya kugraduate since 2014 hizi digrii yeboyebo. Japokuwa Mungu alinisaidia kupata kazi za mikataba ya muda mfupi lakini mishahara ni ile ikizidi sana ni laki nne, sehemu nyingi...
Msako unaendelea nchini Pakistani kumtafuta mganga wa kienyeji anayedaiwa kushindilia msumari kwenye kichwa cha mwanamke mjamzito. Mwanamke huyo alifika katika hospitali ya Peshawar baada ya kujaribu kuchomoa msumari wa 5cm (inchi mbili) kichwani kwake.
Awali, aliwaambia madaktari kuwa...
Watu wawili, Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) wakazi Makambako Mkoani Njombe wamekutwa wamefariki katika msitu wa Tanwat uliopo Njombe huku uchunguzi ukibainisha kuwa wameuawa na Mganga wa Jadi baada ya Watu hao waliokuwa Wateja wake kugundua dawa za kuwa Matajiri walizopewa...
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo.
Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo.
Mganga...
Habari za kusikitisha kutokea Kaliua Tabora
Baba wa Kambo amewaua watoto wake wawili kwa kuwaziba pumzi na kisha kuwazika ndani ya nyumba kabla ya kutoroka kusikojulikana
Tukio Hilo limetokea Novemba 17, 2021 Wilayani Kaliua na kuthibitishwa na RPC wa Tabora Richard Abwao
Chanzo cha mauaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.