Inasikitisha.
Nia ya Dawasa kutoa tangazo la tahadhari ya kukosekana kwa huduma ya maji ni jambo jema. Ila nashangaa hili tangazo kwa kuwa Dar es Salaam miaka yote kuna mgao wa maji na ambao haueleweki.
Nawatakia Jumatatu njema.
Mheshimiwa Waziri wa Maji matatizo ya maji ya miaka kumi iliyopita yamerudi katika jiji la Dar es Salaam pamoja na kwamba hakuna taarifa ya kupungua kwa maji.
Hali ni mbaya zaidi kwa DAWASA Kimara ambapo pamoja na kupitiwa jirani na bomba kubwa kutoka Ruvu juu uhakika wa maji ni mdogo.
Hali ya...
Jamani hakuna mtu ambae haelewi umuhimu wa maji kwenye shughuli mbalimbali za kila siku. Sasa maji yanavyokosekana siku nzima bila taarifa yoyote wala tahadhari watu wajiandae mnataka watu tuishije?
DAWASA shida ni nini mpaka wakazi wa Tegeta maeneo ya Kibo, maeneo kuzunguka Hospitali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.