mgao wa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Dalili ya mvua ni mawingu, Ni vyema TANESCO watuwekee mkeka wa mgao wa umeme tuzoee kabisa!

    Sifahamu shida ni nini Vimikatiko vya umeme visivyoeleweka vimekuwa vingi kiasi cha kujiuliza maswali iwapo tayari Tanesco wameshaanza kutoa dozi ya mgao wa umeme Wakati matamko ya viongozi mbalimbali yakitolewa ya kutokuwepo mgao wala usumbufu wowote wa umeme hata kwa misimu mitatu ya ukame...
  2. Damaso

    Mgao wa umeme ni kitendawili kingine

    Iombee sana Tanganyika. Tanganyika haijawahi kuingia kwenye mgao wa umeme sababu ya "kurekebisha miundombinu". Sababu pekee huko nyuma zilikua ni maji kupungua, Megawatt kuwa chache. Leo hii tuna bwawa la nyerere Megawatt zaidi ya 3000 mpaka zingine zinataka kuuzwa nje, lakini kwa mara ya...
  3. Mindyou

    TANESCO watoa ratiba ya umeme wakati wa maboresho ya mitambo kuanzia Februari 22, 2025

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati...
  4. Mindyou

    Waziri Mwigulu Nchemba aeleza jinsi mgao wa umeme na barabara mbovu zilivyoipitisha serikali katika kipindi kigumu

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema bajeti ya Serikali ilikumbwa na changamoto mwaka jana na mwaka huu, hasa kutokana na uharibifu wa barabara chini ya Tarura na Tanroads pamoja na mgao wa umeme. Akizungumza bungeni Dodoma, Dk Mwigulu amesema Serikali ililazimika kuchagua kati...
  5. kimsboy

    KERO Masama, Kilimanjaro umeme hukatika mara 50 kwa siku

    Masama Kilimanjaro hii sehemu ni balaa wakuu umeme unakatika sio chini ya mara 50 kwa siku yaani kila baada ya dakika 5 umeme unakatika nina wiki ya pili kikazi huku aisee sio poa nikiwauliza wenyeji wanadai hii hali wameizoea na wanaumia lakini hawana jinsi Masama Hai Kilimanjaro ni eneo la...
  6. Mindyou

    TANESCO yatangaza kuzima umeme katika Wilaya mbalimbali za Geita siku ya Jumamosi

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa njia kuu ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 220 kutoka Shinyanga hadi Bulyanhulu, pamoja na vituo vya kupoza umeme vya Bulyanhulu, Geita, na Nyakanazi. Hatua hii inatokana na matengenezo ya kuunganisha transfoma mpya katika...
  7. Jack1402

    KERO TANESCO Kahama tuambieni kama kuna mgao wa umeme tuelewe

    Kahama Mjini kuna laini moja ya umeme ambayo imeunganisha maeneo ya Nyihogo, Mhungura, Dodoma hadi Shunu. Miezi miwili au mitatu mfululizo pamekuwa na changamoto ya ukataji wa umeme pasipo taarifa yoyote na shida ni kwamba umeme unakatwa asubuhi na kurudishwa kati ya saa 12 jion au saa moja na...
  8. Crocodiletooth

    KERO Kuna mgao wa umeme wa siri au kulikoni?

    Kila uchwao tabata wanakata umeme, I am comfused, what is wrong nothing going at all. Wiki mbili sasa kila siku lazima wauondoe kwa saa karibu 5-7, leo hii tarehe 18/11 toka saa 4, asubuhi hatuna umeme mpaka muda huu. #Tuimarishe vyanzo vya nishati mbadala.
  9. Roving Journalist

    TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

    UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO Ijumaa 15 Novemba, 2024. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu maboresho ya miundombinu yanayoendelea...
  10. Nyendo

    KERO Dar kuna mgao wa umeme? TANESCO tuwekeni wazi tujue

    Ni wiki sasa tangu nione kukatika kwa umeme maeneo mbali mbali hapa Dar. Hivi navyoandika hapa mtaani nilipo umeme umekatika na jana pia ulikatika najiuliza je, kuna mgao? Kama kuna mgao kwa nini TANESCO mpo kimya hamtoi taarifa, mnatuharibia kazi zetu semeni tujue basi
  11. Mzee Wa Kale Kabisa

    Mgao wa umeme umerudi Dar es Salaam?

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam kwa sasa yanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, umeme umekuwa ukikatika kwa masaa kadhaa huku kukiwa hamna taarifa yoyote kutoka kwa wahusika. TANESCO mtuweke wazi ili tunavyopanga ratiba zetu na ninyi tuwajumuishe na mipango yenu ya kukata...
  12. Teko Modise

    Kuna mgao wa umeme kimyakimya?

    Nimekuja mkoa flani huku kaskazini, naona tangu juzi ni umeme kukatika mchana na kurudi jioni. Je kuna mgao wa kimya kimya?
  13. G

    Pongezi kwa Serikali kwa kudhibiti mgao mkali wa Umeme baada ya mgao mkali umeme

    Ni kwa miezi kadhaa baada ya vilio vya mgao mkali wa umeme, hali imetulia, baadhi ya maeneo umeme haujakatika miezi mitatu mfululizo. Ndivyo inavyobidi serikali itutumikie wananchi, kwa hali ikiendelea hivi malalamiko yanatoka wapi kwamfano ?
  14. Waka Waka

    Mgawo wa Umeme umerudi upya baada ya kukamilika kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere?

    Habari, Hali ya mgawo wa umeme imerejea kwa kasi sana ni wiki tangu kuanza kwa changamoto hii. Ndani ya jiji la Dar es Salaam wilaya ya kinondoni hali sio nzuri. Watanganyika tulijua baada ya Bwawa kukamilika ingekua ni mwarobaini tosha ya kukatika katika huku. TANESCO wilaya wametenga masaa...
  15. Mindyou

    Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme

    Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo. Mara tu baada ya kudhibiti moto huo, Kaimu meneja wa TANESCO mkoa wa Njombe Mhandisi Lazaro Bartazai alidokeza kuwa hakuna athari...
  16. A

    KERO Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana

    Huku Bariadi kata ya Muamatondo hasa kijiji cha Mwasinasi umeme umekuwa kero toka wakati wa mgao hadi kuwashwa kwa mitambo ya Bwawa la mwl Nyerere. Yaani kwa siku wanakata hata zaidi ya mara saba, kibaya zaidi hatuambiwi shida nini. Toka jana Jumamosi asubuhi mpaka leo saa tisa na robo Jumapili...
  17. GoldDhahabu

    Kumbe mgao wa umeme ulikuwa wa mchongo?

    Angeyasema kiongozi wa dini, angeweza kutuhumiwa kuwa anachanganya dini na Siasa! Wangeongea CHADEMA, wangeambiwa ni tabia yao kupinga! Lakini sasa aliyeongea ni kada Luhanga Mpina? Nani atakayemjibu? Kwa mujibu wa huyo mzalendo, kilichokuwa kikichangia tatizo la umeme kukatika mara kwa mara...
  18. D

    Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko huu mgao wa umeme Arusha ni wa nini?

    Sahivi kila siku kuanzia saa 12 jioni umeme unakatwa huku Arusha wilayani Arumeru, kurudi saa 5 usiku, huu ni mgao? Kwanini msitangaze? Huu mgao upo na maeneo mengine ya nchi? Shida Biteko baada ya kuwa naibu waziri mkuu naona muda mwingi yuko kwenye uzinduzi wa shughuli mbalimbali...
  19. A

    KERO Wilaya ya Songwe(Mkwajuni) mkoa wa Songwe kuna tatizo la umeme kukatika mara kwa mara bila taarifa kutolewa na wahusika. Je, mgao wa umeme umerudi?

    Wilaya ya Songwe(Mkwajuni) mkoa wa Songwe kuna tatizo la umeme kukatika mara kwa mara bila taarifa kutolewa na wahusika. Je, mgao wa umeme umerudi?
  20. R

    KERO Umeme Vikindu bado ni changamoto kubwa

    Nashangazwa sana na utendaji wa Tanesco, nilikuwa nakaa Dodoma umeme ulikuwa haukatiki ovyo ila maisha ya kule ni gharama sana nikamua nihamie Vikindu Vianzi kupata unafuu wa maisha na kujiendeleza kibishara kwa kutumia umeme. Cha ajabu tangia nihamie nina miezi miezi mitatu ila sijawahi kukaa...
Back
Top Bottom