Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam.
Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji
Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji
Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua...
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema ni hali ya kawaida mwezi November kuwa na mgao wa umeme ila tu awamu iliyopita tulikuwa hatutangaziwi lakini mgao ulikuwepo.
Zitto anasema isingekuwa rahisi kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme awamu iliyopita kwa sababu ya kuogopa ubabe...
Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao!
Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha sana. Leo huenda zimebaki siku nane tuingie kwenye mgao wa mafuta.
Nionavyo, Wabunge wa Upinzani...
Nimepita kwenye account za Januari Makamba,Matusi na kejeli za wananchi wenye hasira za mgao wa umeme zimekua nyingi.Na nyingi zikijielekeza na kukumbushia miaka 5 ya Magufuli kuwa umeme haukukatika na hata kama ulikatika sio kwa kiasi hiki.
Mimi sio mtaalam wa umeme ila ntatoa hoja yangu...
Jamaa yangu anasema ameambiwa aagize China Majenereta 500 kwa kuanzia. Na mtaji kapewa kuongezea.
Wameandikishana na mchakato umeshafanyika mtu mkubwa mmoja kamwambia hawezi agiza kwa jina lake so atamtumia yeye.
Umeme mgao haukuwepo kwa muda mrefu sana. Ilikuwa umeme hauwezi katika kila siku...
Tunajua kwamba DAWASA wametangaza kwamba kuna mgao wa maji hili sina shaka nalo!
Je, TANESCO wamesha tangaza kuna mgao wa umeme? Maana siku nzima ya leo umeme hakuna!
Kama kuna anajua tafadhali nijulishe na pia nipatie ratiba ya mgao!!
Hivi kweli miaka 60+ ya uhuru umeme na maji bado ni shida...
Dar es salaam hakuna umeme maeneo ya Chanika tangu jana na leo siku nzima hakukuwepo umeme hadi hivi niandikapo.
Je, ni halali Tanesco kupokea pesa kutoka kwa wateja wake halafu wagome kutoa huduma?
Je, kama Kuna matatizo ya kiufundi hivi si busara kuwataarifu wateja wanaotegemea umeme wa...
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja.
Mwenyewe...
Tanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku
Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau...
"Hakuna tatizo la mgao wa umeme, ili kuwe na mgao wa umeme ina maana umeme unaozalishwa unakuwa haukidhi mahitaji.
Kwa sasa tunazalisha MW 1,600 na matumizi ya kiwango cha juu ya umeme kilichorekodiwa wiki iliyopita ni MW 1,273.42" Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO
"Katika kuleta...
Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao.
Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
Fanyeni yote ila msiturudishe kwenye
Mgao wa umeme.
Ujenzi wa bandari bagamoyo
Kukwamisha mradi wa umeme wa maji.
Kupanda kwa gesi.
Kupanda kwa mafuta.
Kupanda kwa bundle.
Kurudisha karo shuleni.
Kuturudisha kwenye umeme wa mitambo ya kukodi Kama IPTL.
Msituambie kwamba tunatakiwa kuwalipa...
Katikati ya tozo za miamala, umeme unakatwa na kurudishwa bila taarifa.
Katikati ya tozo za miamala rais yupo kwenye kuponda raha katika kile kinachoitwa royal tour.
Katikati ya tozo za miamala tunapewa ripoti ya makusanyo ya 48B lakini umeme bado unakatwa.
Nataka kufahamu nchi hii ipo kwenye...
Baadhi yetu tunalijua hili shirika vizuri sana from experience,
Tangu juzi lilipotokea tatizo la kuungua substation Morogoro maeneo mengi ya jiji la Dar yana changamoto ya umeme kukatwa kwa muda mrefu (zaidi ya masaa 7).
TANESCO ni wasumbufu mno. Ni shirika linalopaswa kuendeshwa kwa mkono wa...
Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia.
Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside.
Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
Rais Mhe. Dkt. John Magufuli leo atazinduzi mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini Dar es Salaam.
Mradi huu utaingiza megawatts 240 katika gridi ya Taifa. Matangazo ya moja kwa moja yatarushwa na TBC 1 & Azam Two kuanzia saa 3:30 asubuhi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.