Ifike mahali sio kitu Ni kulaumu Serikali na kusahau kwamba wewe ndie muuaji maarufu wa miti na zaidi unakuta kwako hauna mti hata mmoja. Tubadilike mama Samia haleti mvua bali tutunze mazingira tutunze asili sio kuangamiza miti na kuamini kuwa ni uchafu.
Hakika hii nchi takatifu sana kwa mazito niyaonayo Mimi lakini Watanzania masikini na unyonge wao hawana la kusema hata kumtaka MTU flani aondoke madarakani hakuna.
Kama haya yanavumilika basi nchi ni takatifu sana.
Kuna nchi mkate ulipanda bei wakaamua kwenda kula mikate ya kiongozi wao.
Mimi...
Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.
Ninajiuliza sipati...
Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi.
Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
Jana wamekata saa 1 asubuhi. Umerudi usiku saa sita. Saa hizi saa moja wamekata. Huu siyo mgao, ni kama tu hakuna umeme. Nafikiri serikali imeshindwa kuzalisha na kusambaza umeme. Na hata hilo Stigla halitaleta unafuu wowote kama tu gesi tuliyokuwa na matumaini nayo ambavyo haikuleta unafuu...
Imagine leo hii kila mtu ana TV na king'amuzi nyumbani, lakini tunalazimika wote kwenda kurundikana bar za vichochoroni zenye jenereta ili kuangalia mechi ya ufunguzi..!! Kwenye mitandao ya kijamii watu wanaulizana ni bar gani kuna jenereta watu wawahi siti.
Tanesco Arusha, je sasa ni rasmi mgao wa umeme?
Mbona hamjatangaza?
Ndugu wanaJF, ni takriban wiki 3 sasa Tanesco Arusha wanakata umeme kila siku kuanzia saa 3 asubuhi na unarudi jioni sana.
Maeneo mengi yanaathirika na kadhia hii hasa Meru na Arumeru kwa ujumla.
Na maeneo kadhaa ndani ya...
Kila kukicha umeme unakatika siku nzima tena wilaya nzima au mkoa mzima.
Ninauliza Tanesco, Tanzania tumeanza mgao wa umeme?
Nimeuliza ili tuanze kununua generator
Karibu nchi nzima, maeneo tofauti tofauti yanakatika katika umeme kila siku hususani kwa siku za karibuni pasipo kutolewa taarifa na Tanesco, na jambo hilo linaathiri sana maisha ya watu na shughuli zao. Sote tunajua Tanzania tupo kwenye mgawo wa umeme.
Sasa kuna ugumu gani kwa TANESCO kutoa...
Ndugu zangu watanzania
Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka!
Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali...
Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia.
Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu...
Nimeona vigogo wa TANESCO wakitutahadharisha watanzania kuwa kutokana na ukame uliolikumba Taifa letu, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wamelazimika wao TANESCO kuanzisha mgao wa umeme nchi nzima, kutokana na mabwawa ya Kihansi, Mtera na Kidatu, kupungukiwa maji ya kuyajaza mabwawa hayo...
Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa.
Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha uchumi uliokwama.
Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11.
Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas.
Source:
Azam news
Kwa zaidi ya wiki na kitu sasa umeme unakatikakatika hovyo na mbaya zaidi unakatika bila hata taarifa.
Leo umekatika na tumeshindwa hata kuangalia mtanange kati ya Coastal Union na Azam Fc.
Waziri mwenye dhamana huwa na kauli mbiu mbili tu. Mgao au matengenezo ya miundombinu chakavu. Atuambie...
Hii ni aibu kubwa sana badala ya kudili na taifa letu kuwa na uzalishaji mwingi na wa uhakika ili umeme ushuke bei na sekta binafsi iweze kukua kwa uzalishaji kuongezeka. Waziri wa nishati anawakatisha tamaa sekta binafsi na kutamka bila aibu mgao utakuwepo .
Kama njia za kusafirisha umeme...
Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanza mgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo, umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.