mgao wa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr. Wise

    Huu Mgao wa Umeme shida ni nini?

    Habari za majukumu! Kuna mgao unaendelea hapa Arusha, Umeme unakatwa asubuhi unarudi saa moja kasoro usiku. Tanesco kwanini wasituambie shida ni nini? Mlituaminisha mgao uliopita ni sababu ya kufanya maintenance, ni juzi tu mkatangaza maintenances zimeisha sasa hii ni nini?Nadhani kuna mahali...
  2. J

    Ukarabati wa vinu vya gesi Songosongo wafikia 30%, mgao wa umeme umepungua

    Msemaji wa Tanesco ndugu Mwambene amesema ukarabati wa vinu vya gesi huko Songosongo umefikia 30% kufikia leo. Mwambene amesema ndani ya siku 10 hali ya umeme itarejea kama kawaida kwani hata sasa mgao umepunguzwa sana. Source: ITV habari
  3. Etwege

    Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

    Bilionea wa wa madini ya Tanzanite na Ruby bwana Laizer amesema anasikitishwa sana na kitendo cha umeme kukatika kila mara na kupelekea washindwe kuendelea na shughuli zao za uchimbaji kama walivyojiwekea kwenye mpango kazi wao. Ameiomba serikali kutafuta namna ya kupambana na kuondoa kabisa...
  4. H

    Wamesema hakutakuwa na mgao wa umeme; mbona wanakata umeme?

    Nduguzanguni Serikali waliibuka nakusema hakutakuwa na mgawo wa umeme ambao walikuwa wameutanganza kwasema ni kwa sababu washapata mbinu mbadala utaosaidia kuwezesha upatikanaji umeme kuwa wakutosha. Nimeshangaa jana wmetukatia kuanzia saa 10 Jioni wamerudisha saa 4 na nusu Usiku hii imekaaje...
  5. Replica

    Mgawo wa Umeme wasitishwa, utafiti mpya umeona hauhitajiki kama awali

    Akiwa bungeni, Naibu waziri wa Nishati, Stephen Byabato ametangaza kusitisha mgao uliotangazwa awali kwa madai kwamba hauhitajiki baada ya kufanya utafiti huku wakiwa wamepokea maelekezo kutoka kwa Rais Samia kwamba mgao usiwe mkali kama ilivyotangazwa. Kupungua kwa matumizi ya umeme, mvua...
  6. Roho Mbaya

    Tatizo la umeme kukatika; Waziri Makamba jipime kama unatosha au kung'atuka

    Ni takrbani Masaa nane toka saa 3.20 usiku hadi hivi sasa alfajili tuko gizani bila Tanesco kutoa taarifa yoyote kwa Wananchi [emoji819]Watanzania wanalala gizani huku viongozi wakishindwa kuwajibika kwa matatizo yayotokea. [emoji819]Mtu wa kwanza kuwajibika katika hili ni Waziri anayehudumu...
  7. C

    Tanesco na baadhi ya viongozi wenye dhamana Serikalini wanapata faida gani kukata umeme?

    Nikishangaa sana, suala la umeme kukatika hovyo hovyo tena siku nzima,kwa hapa shinyanga mjini,limekithiri sana tangu waziri wa nishati aondolewe na kuwekwa Makamba. Hata wakati wa JK haikuwahi kuwa hivi.Kwa sasa hali imezidi sana kwani hata siku kama ya leo ambapo wananchi wengi wanafuatilia...
  8. Robidinyo

    Tanesco Mwanza kama kuna Mgao wa Umeme tangazeni, leo ni siku ya 4 mnakata umeme asubuhi mnarudisha jioni

    Kila ikifika asubuhi wanakata Umeme na kuurudisha jioni kwa siku ya 4 mfululizo TANESCO hata kama ni mgao ni mgao gani wa hovyo hivi? Hili shirika ni la hovyo sana
  9. Nyankurungu2020

    Waliotaka kutupiga kwa mgongo wa mgao wa umeme wameona aibu?

    Mwezi uliopita baada taifa letu kupata taarifa kuwa kuna upungufu wa umeme kiasi cha Mw 345 taifa letu liliwekwa tayari kwa ajili ya kuanza kuzalisha umeme kwa njia mbadala badala ya maji. Kila Mtanzania alijua wazi kuwa sasa mambo ya IPTL, Dowans na Richmond yanarudi na waTz walishajua wakati...
  10. K

    OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
  11. H

    Kwenye Umeme ni Usanii Mtupu

    Taarifa ya Msigwa ni kwamba TANESCO wanazalisha megawat 1,609. Matumizi yetu ni megawat 1,273. Hivyo tuna ziada ya megawati 336. Tunaambiwa kuwa ukame umesababisha kupungua megawati 280! Hii ina maana umeme uliopungua kutokana na unaotajwa kuwa ni ukame, haumalizi hata ile ziada ya umeme...
  12. Replica

    January Makamba aiagiza TANESCO isikodi mitambo ya dharura. Ataka mradi wa Rufiji usicheleweshwe

    Waziri wa Nishati, January Makamba amelielekeza Shirika la Umeme (TANESCO) kuhakikisha kwamba pamoja na kadhia ya umeme inayoendelea, Shirika hilo lisijiingize kwenye kukodi mitambo ya dharura kutokana na historia mbaya ya mitambo ya aina hiyo kuwa na gharama kubwa kwa Serikali na kugubikwa na...
  13. Kinuju

    Mgao wa umeme: Hospitali ya KCMC yasitisha baadhi ya huduma

    Mgao wa maji na umeme unaoendelea hapa nchini umeitikisa hospitali ya KCMC inayotegemewa na zaidi ya watu millioni 15 nchini na imelazimika kusitisha baadhi ya huduma kama vile upasuaji, uzalishaji wa mitungi ya Oxygen n.k. ======= Moshi. Makali ya uhaba wa maji na umeme usipime. Hivi ndivyo...
  14. sinza pazuri

    Kwanini Uganda na Egypt hawana mgao wa umeme na wanategemea maji kuzalisha umeme?

    Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje. Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower. Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia...
  15. J

    Tanesco: Mgao wa umeme hautakuwa mkubwa kwani ni 20% tu ya mitambo ndio itapunguza uzalishaji

    Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji. Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8. Source: ITV habari
  16. Z

    Majungu na fitina dhidi ya Waziri wa Nishati nani yupo nyuma?

    Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba? Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi. Hii tabia ya watanzania kufitiniana na...
  17. W

    Noti za Tanzania zibadilihswe, tumezichoka

    Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha. Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.zania Zinahitajika kubadilishwa
  18. Ngamanya Kitangalala

    Mgao wa umeme unatoka wapi kama tulikuwa na uzalishaji wa ziada wa umeme?

    Nchi yetu kwa sasa imepata changamoto ya upungufu wa mvua, hii ni kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), jambo lililopelekea upungufu wa uzalishaji wa umeme hapa nchini, hiyo ni kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na shirika letu la umeme hapa nchini (Tanesco) jana tarehe...
  19. thetallest

    Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

    Kauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini. Kauli zenu ndio zinafanya Watanzania watilie shaka weledi wenu kama viongozi wakuu wa nchi. Teuzi ya January Makamba imebuma mapema mno, unasubiri mambo yaharibike...
  20. MK254

    Watanzania mnalo! Jua na joto kali, mgao wa maji na sasa mgao wa umeme

    Poleni sana, halafu kwa namna huwa mnabanana kwenye madaladala, mbona mnalo. Tanzanians should brace for more pains as power rationing looms after Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) revealed that water levels in many of their dams have reduced. According to a statement issued...
Back
Top Bottom