Kama mnavojua Kariakoo ni eneo la kibiashara kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Na wafanyabiashara wengi hutegemea eneo hili na pia ni chanzo cha mapato ya Nchi.
Hii wiki inaenda ya pili mara nyingi umeme hamna tena unakatika Bila Taarifa na kama mnavojua kuna maduka ya Underground na ya...