A
Anonymous
Guest
Kama mnavojua Kariakoo ni eneo la kibiashara kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Na wafanyabiashara wengi hutegemea eneo hili na pia ni chanzo cha mapato ya Nchi.
Hii wiki inaenda ya pili mara nyingi umeme hamna tena unakatika Bila Taarifa na kama mnavojua kuna maduka ya Underground na ya Ground level yanategemea zaidi umeme.
Hii kero imezidi kwa Mtaa niliopo wa Aggrey na Likoma Umeme unakatika kila siku leo siku ya Tano.
Tanesco Tunawaomba Warekebishe tatizo ilo huku biashara zinadoda bila Umeme na kodi tunalipa za jengo na TRA.