Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache.
Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
Waziri wa Umishi wa umma Jenista Mhagama amesama kuwa wameweka utaratibu utakao wezesha mgawanyo wa rasilimali watu ktk maeneo yote ya nchi hii na sio kama ilivyo hivi sasa, mfano shule ya Wilaya ya Muleba vijijini ina mwalimu mmoja anaye fundisha zaidi ya masomo 11 lkn wakati huo huo kuna shule...
MGAWANYO WA MAJUKUMU KATIKA UTENDAJI WA WIZARA
Watanzania kwa Muda mrefu tulikuwa na hamu kubwa ya kuona Mgawanyo wa madaraka na Majukumu katika utendaji Kazi katika Serikali. Kuna Jambo kubwa sana la kujifunza na kujivunia kwa Rais wetu Mpendwa @SuluhuSamia jinsi anavyoongoza na alivyowapa...
Habari wanajukwaaa.
Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu wamezamilia wanafunzi wote watakaoanza kidato cha kwanza mwakani waripoti wote.Lakini nimegundua...
Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977.
Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano.
Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda
Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu
Je, tumebadilika?
Jumaa kareem!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.