Habarin wakuu Mimi ni Mgeni JF naomben mnipokee kwe Moyo mkunjufu Nina Imani tutakuwa pamoja . Heshima Kwa wakongwe wa jukwaa .#GOD is good all the time 💯
Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu...
Swali linajieleza kabisa. Hili lipo sana kwenye familia za Kiafrika.
Nimepokea mgeni, kutokana na mipangilio ya kifamilia na kibajeti nalazimika kumuuliza atakaa hapa ugenini kwa muda gani.
Mara mgeni anaanza kusambaza taarifa mimi ni mbinafsi, sitaki kutembelewa 😂😂😂😂😂
habari zenu wakuu nimerudi tena mgeni mwenyeji
kwa shamra shamra ndelemo na vifijo,, naomba mnipokee tena
pia kama utahitaji brand new Samsung phones from authorized samsung dealer msisite
asante sana .
Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA
__________________________________
Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT,
#KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
Habari wadau..!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
Najaribu kuamini kuwa Rais SSH ni mpenda soka ila upande wa Simba au Yanga ni siri yake. Ile mechi ya ligi ya tarehe 3/07 hakupaswa kwenda uwanjani na kuwa mgeni rasmi kwani ilikuwa mechi tu ya kawaida ya ligi.
Mechi aliyopaswa kuwa mgeni rasmi ni hii ya kesho tarehe 25/07 kwani ina umuhimu wake.
Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.
Peoples.........!
Timu zetu 4 kufanikiwa kwenda kushiriki mashindano ya CAF msimu ujao ni kama vile yamemaliza kiu ya kuwa bingwa kwa msimu huu. Mshindi wa kwanza na wapili wa VPL hawana tofauti kubwa maana tofauti kati ya zawadi ya mashindi wa kwanza na pili hairushi roho washindi wa pili, ni ndogo sana...
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu
Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la .
Chanzo : ITV
====
WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
Huu ni uzi maalum kwajili ya kukumbushana baadhi ya vitu vidogo vidogo ambavyo huwa tunavipuuza lakini kuna muda vinaweza kutucost sana na kutusababishia matatizo. Inaweza ikawa iliwahi kukutokea wewe au jirani yako.
Binafsi naanza kwa kuwapa mbinu mbili:-
1. Ukiwa ugenini au sehemu yoyote...
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!
Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!
Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.