MAZINGIRA SIO MGODI
Ikisiri (Abstract)
Uwezo wa mazingira wa kutimiza mahitaji ya mwanadamu, wanyama na mimea unaendelea kupungua. Kutoweka kwa viumbe, mimea na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi ni viashiria vilivyo dhahiri katika upungufu wa uwezo wake. Shughuli za kibinadamu haswa zile...