Niaje waungwana
Japo hatua ya mataifa ya Magharibi kama vile UK, Ufaransa, Canada, Australia, Spain, Ireland nk imeonesha kuwafurahisha wengi, na kuwapa matumaini ya kuona mwisho wa vita kati ya Israel na Palestina au Hamas umefika. Mimi binafsi naona hali haiwezi kuwa hivyo wanavyofikiria hadi...