mgogoro wa ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kamati kumaliza mgogoro wa ardhi Mwanza

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi wa kiwanja namba 01, Kitalu R kilichopo barabara ya Nyerere...
  2. Mindyou

    Kilimanjaro: Samia Legal Aid Campaign yatatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka zaidi ya 30

    Timu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) imefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka zaidi ya 30 na hatimaye kufikia tamati. Hayo yalijiri Februari 8,2025 baada ya timu hiyo kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, taarifa ya utendaji kazi ya...
  3. Mkalukungone mwamba

    Anusurika kifo kwa sababu ya mgogoro wa ardhi

    Musa Solela Ngasa (40), mkazi wa Kijiji cha Nhobola, Kata ya Talaga, Wilaya ya Kishapu, Mkoani Shinyanga, amenusurika kifo baada ya kupigwa ubavuni na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa kuwa mshale. Akizungumza na vyombo vya habari, mhanga huyo amesema tukio hilo limetokea Januari 2025...
  4. Nyoka kibisa

    MGOGORO WA ARDHI RORYA: Makaburi mawili yajengwa inaposemekana hakuna makaburi kisha kuvunjwa na wasiojulikana

    Wadau mwaka jana mwanajf Suley2019 alileta habari hapa jf kuhusu mgogoro wa ardhi katika kijiji cha nyambogo wilaya ya rorya iliyopelekea mwili wa marehemu kutozikwa zaidi ya miezi 8. - Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo Naam kuna...
  5. M

    KERO Ruvuma: Waziri wa Ardhi tunakuomba uje Kata ya Liganga kutatua mgogoro wa ardhi, upimaji wa ardhi ufanywe upya, tunateseka

    Mimi Mkazi wa Songea Kijijini, Kata ya Liganga katika Jimbo la letu ambalo Mbunge wetu ni Jenista Muhagama, huku tuna changamoto ya ardhi. Miaka 10 iliyopita tuliuziwa eneo na Kijiji ambapo kipindi hicho kilikuwa kinaitwa Kijiji cha Liganga, tulilitumia eneo hilo kwa ajili ya kufanya kilimo...
  6. JanguKamaJangu

    Wakulima 2000 Kiteto wamuomba Rais Samia aingilie mgogoro wa Ardhi (Hifadhi ya Makame)

    Wakulima 2000 Wilayani Kiteto wamemuomba Raia Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na hifadhi ya Makame WMA iliyodaiwa kupora maeneo yao waliyotumia zaidi ya miaka 15. Chanzo: EATV
  7. S

    DOKEZO DC wa Morogoro fuatilia Mgogoro wa Ardhi unaoendelea Mtaa wa Ngerengere B Kata ya Mkundi

    Salaam kwako Ndg Mussa Kilakala, DC na M/Kiti kamati ya ulinzi Wilaya ya Morogoro (Mjini naVijijini). Kuna mgogoro mkubwa wa Ardhi unaendelea ndani ya manispaa yako Mtaa wa Ngerengere B, kata ya Mkundi. Chanzo cha mgogoro, inasemekana; Ndg Chacha Kimweri (Mmasai & Mfugaji). Anadai kumiliki...
  8. Mkalukungone mwamba

    Rais Samia aunda Tume za Rais za Kutathmini Mgogoro wa Ardhi Hifadhi ya Ngorongoro na Kutathmini Zoezi la Uhamaaji wa Hiari katika Hifadhi

    Tarehe 01 Desemba, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokutana na viongozi wa kimila na jamii ya kimasai wanaoishi eneo la Hifadhi ya Ngorongoro alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda Tume mbili ambapo Tume ya Kwanza itafanya tathmini kuhusu masuala ya...
  9. Druggist

    Ni lini Kamishna msaidizi Tabora utamaliza mgogoro wa ardhi Nzega karibu na stendi kuu ya mabasi?

    Habari wadau wa JF. Natoa wito huu kwa Kamishna Msaidizi wa Ardhi Tabora, maofisa wengine wa kitaalam, na viongozi wa kisiasa, akiwemo Waziri mwenye dhamana ya Ardhi, Mkuu wa Mkoa, na Mkuu wa Wilaya. Mwaka 2009, kulifanyika zoezi la upimaji wa ardhi katika eneo la Kitongoji cha Sagara...
  10. Kingdom78

    Msaada: Eneo ambalo bibi alikuwa analima tangu miaka ya 80, kuna mtu kavamia. Nathibitishaje na bibi kafariki?

    Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwahi kuwa na hati ya hilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia. Sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki, sasa je nitaweza vipi kuthibitisha...
  11. JanguKamaJangu

    DC Kiteto aenda kusikiliza Wananchi wa Ndaleta kuhusu mgogoro wa Ardhi, Wenyeji wailalamikia Halmashauri

    Wananchi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya hiyo wakidai imehusika kuhujumu Wananchi kwa kiwango kikubwa katika masuala ya mgogoro wa ardhi yanayoendelea. Wameeleza kuwa wamefikisha malalamiko yao mara nyingi kuhusu mgogoro wa ardhi lakini...
  12. Abdul Said Naumanga

    TLS Yatoa Tamko Kuhusu Maandamano ya Wananchi wa Ngorongoro, Yataka Haki Zao Ziheshimiwe

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa wito kwa Serikali kufuatia maandamano yaliyofanywa na mamia ya wananchi wa Ngorongoro tarehe 18 Agosti, 2024, wakidai kuheshimiwa kwa haki zao za kimsingi. Maandamano haya yalionyesha hisia kali kutoka kwa wananchi wanaopinga kuondolewa kwenye ardhi...
  13. Shozylin

    Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Mwaka 2018 mzee wangu alilitoa shamba la familia lenye ukubwa wa heka 4 likiwa pamoja na miti ya mbao. Maamuzi ya kutoa sadaka shamba la familia aliyafanya mwenyewe bila kumshirikisha mtu yeyote ndani ya familia, ni jambo lililosababisha migogoro ambayo mpaka leo imeathiri familia yetu...
  14. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaahidi Kutatua Mgogoro wa Ardhi Kati ya Wananchi na Jeshi la Magereza Wilayani Ngara Mkoani Kagera

    SERIKALI YAAHIDI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA JESHI LA MAGEREZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea malalamiko ya mgogoro wa Ardhi kati ya Wananchi na Jeshi la Magereza katika Kijiji cha Rusumo Wilayani Ngara Mkoani Kagera. Kauli hiyo...
  15. Roving Journalist

    Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi wa Wananchi na Kampuni ya Tanzania Road Haulage

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
  16. Pang Fung Mi

    Mgogoro na Giza la Umiliki wa Ekari 12 Mapinga Bagamoyo wengi wamerithi mgogoro bila kujua

    Shalom, Naomba kuutarifu uma na Serikali kwa ujumla kwamba mimi na wenzangu kadhaa miaka ya 2010, 2011 kulikuwa na taarifa za wazi juu ya mgogoro wa eneo hilo na ukiachana na wale ambao tayari walikuwa wamenunua wengine wote waliambiwa kuhusu eneo kuwa na mgogoro na kulikuwa na kesi...
  17. BigTall

    Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka, Waziri Silaa fuatilia kinachoendelea

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio. Mgogoro huo ulikuwa ukifukuta kimyakimya lakini kwa sasa umepamba moto kutokana na nyumba za wakazi wa eneo hilo...
  18. JanguKamaJangu

    KERO Waziri Jerry Silaa tusaidie Wakazi wa Kata ya Ipala (Dodoma) hatujui mwelekeo wa ardhi yetu

    Uongozi wa Dodoma Jiji unadai eneo hilo tunaloishi wakazi wa Kata ya Ipala Jijini Dodoma ni mali ya Serikali, wanataka kutuhamisha kwa njia ambayo tunaona siyo sahihi. Wakati wakitaka kutuhamisha tuliomba zuio na vielelezo vinavyoonesha kwamba ni eneo la Serikali lakini hawatupi, zaidi wamekuwa...
  19. JanguKamaJangu

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia aunda Kamati kufuatilia kama kuna uvunjifu wa Haki za Binadamu katika mgogoro wa ardhi unaohusisha Kanisa la EFATHA

    1.0 Waheshimiwa Wabunge, tarehe 14 Februari, 2024 nilipokea barua kutoka Kanisa la EFATHA, ikiwasilisha utetezi wake kuhusu mchango alioutoa Mhe. Deus Clement Sangu, (Mb) dhidi ya EFATHA, Mchango huo ulihusu mgogoro wa Ardhi kati ya Wawekezaji kwenye Shamba la Malonje na Vijiji vinavyolizunguka...
  20. Huihui2

    Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge...
Back
Top Bottom