mgogoro wa ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    Katavi: Serikali waombwa kuingilia kati mgogoro wa ardhi, wadai wawekezaji wamepewa kinyume na utaratibu wa sheria

    BAADH ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameiomba Serikali ya Mkoa huo kuingilia kati mgogoro wa ardhi wa zaidi ya hekali 40 zilizopo katika Kitongoji cha Jelemanga "A" na "D"kijini cha Milala. Mgogoro huo uliodumu muda mrefu unatokana na baadhi ya wananchi kudai kuchukuliwa...
  2. Shushani Ngomeni

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi kuhusu mgogoro wa ardhi kata ya Maroroni wilayani Arumeru

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAKAZI – ANGELINA MABULA KUHUSU MGOGORO WA ARDHI ARUMERU ARUSHA KATA YA MARORONI KIJIJI CHA KWA UGORO CC: Naibu waziri Mh. Waziri Salam sana zikufikie popote pale ulipo, pole na hongera kwa majukumu mazito ya kujenga taifa letu la Tanzania hasa...
  3. T

    Mgogoro wa ardhi Ngorongoro usiposhughulikiwa vizuri waweza kuwa kitisho cha usalama kwa Taifa

    Mgogoro wa ardhi ya wamasai kule ngorongoro usiposhughulikiwa kwa hekima na busara basi waweza geuka kuwa kitisho kikubwa cha usalama wa Taifa kwa sababu kama nilivyowahi sema hapo zamani kwenye makala yangu jinsi idara zetu za usalama zimejikita na siasa kiasi mataifa yakigeni yanatengeneza...
  4. davejillaonecka

    Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenye mgogoro wa ardhi?

    Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenya mgogoro wa ardhi takribani miaka 23 baina ya uwanja wa ndege (JNIA) na wakazi wa kipunguni (DSM). Je, Tanesco Hawaoni watapata hasara endapo wataanza kubomoa? Naomba kueleweshwa, na kuelimishwa. Asante.
  5. M

    Ziara Maalum ya RC Makalla Kigamboni yabaini eneo la Avic Town na GSM walilopewa Yanga SC lina Mgogoro wa Ardhi

    Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao. "Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tunasikitika...
  6. mshale21

    Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo

    Linaweza kuwa tukio la kushtua na kushangaza, lakini ndio hivyo limeshatokea. Familia ya Mzee Wilson Ogeta (89) hadi sasa imeshindwa kufanya mazishi ya baba yao aliyefariki dunia Januari 10, mwaka huu. Kwa siku 234, mwili wa Mzee Ogeta umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Utegi wilayani...
  7. K

    Naomba anayejua Advocate/ Lawyer Office wa kuaminika kwenye kesi za ardhi/ viwanja

    Wana JF, Kwa yeyote yule anayefahamu lawyer au advocate offices za utetezi hususan waliobobea kwenye sheria za utoaji Ardhi/ viwanja. Nitashukuru sana, maana nataka kudhulumiwa kiwanja changu.
Back
Top Bottom