Linaweza kuwa tukio la kushtua na kushangaza, lakini ndio hivyo limeshatokea. Familia ya Mzee Wilson Ogeta (89) hadi sasa imeshindwa kufanya mazishi ya baba yao aliyefariki dunia Januari 10, mwaka huu.
Kwa siku 234, mwili wa Mzee Ogeta umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Utegi wilayani...