Kwa miaka kadhaa kumekuwa na huu mjadala: Je, ndege vita na silaha za China zina ubora gani katika medani za kivita na hazijawahi kujaribiwa?
Hatimaye jibu limeanza kupatikana.
Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 5 za India aina ya Rafale zilizotengenezwa nchini...