Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Kwa miaka kadhaa kumekuwa na huu mjadala: Je, ndege vita na silaha za China zina ubora gani katika medani za kivita na hazijawahi kujaribiwa?

Hatimaye jibu limeanza kupatikana.

Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 5 za India aina ya Rafale zilizotengenezwa nchini Ufaransa, wakitumia ndege vita za China J-10C zenye China's radar and missile systems PL-15.

India spent about USD 300 mln per Rafale. Unaweza kupiga hesabu ujionee hasara iliyopata India kwenye shambulio hilo.

Hili shambulizi lilikuwa na udambwi dambwi wa electronic warfare ulioonyeshwa na PL-15E missiles.

Hizi missiles kwanza zina ubora wa hali ya juu inapohusu targeting, hapa nadhani Indian Air Force wanaweza kutoa ushahidi wa kina kwa walichojionea.

Lakini pia zina uwezo mkubwa wa kuzuia jamming attempts.

Adui yoyote mwenye weak electronics warfare tech kama India hasingeweza kufanya jamming kwa PL-15E missiles zilizokuwa zikifyatuliwa na J-10C.

Ikumbukwe kuwa J-10C ni 4th generation tu, kwa sasa China ina 5th gen na 6th gen fighter jets.

Wiki moja iliyopita India walisaini mkataba na Ufaransa kununua carrier based Rafale 23 kwa USD 7.4 billion. Je, India watanunua au watasitisha mkataba huo wa manunuzi baada ya kipigo?

Natazamia kwa hamu tena kuona India ikijaribu kuchokoza jeshi la Navy la Pakistan ambalo hivi karibuni walinunua meli vita 4 aina ya 054AP kutoka China.

Meli vita za 054AP zina many supersonic anti-ship missiles, nina hakika zitazizamisha zile za India mapema sana, dunia itajionea tena ubora wa meli vita za China.
​
 
Baada ya shambulizi hilo mauzo ya hisa ya kampuni ya AVIC ambao ni wategenezaji wa J-10C yamepanda kwa 17%

Hizi ni habari njema kwa biashara ya silaha kwa taifa la China.
​

20250507_203127.jpg
 
Maeneo mengi duniani katika uwanja wa vita, silaha zilizotamalaki na kunesha usitahimilivu na ufanisi ni za China na Urusi.

Hao mabepari wa magharibi wanajua kukuza bei tu.
Ndiyo maana vita ya Ukraine Urusi anawachapa washirika wa ukraine na silaha zao.

Tatizo China tunamchukulia poa. Silaha bei poa na ufanisi mzuri.
 
Hao mabepari wa magharibi wanajua kukuza bei tu.
Ndiyo maana vita ya Ukraine Urusi anawachapa washirika wa ukraine na silaha zao.
Hapa nakubaliana nawe kwa 100%

Pamoja na nchi za NATO kumuunga mkono Ukraine imagine Putin wala hafikirii kusimaisha vita kwa jinsi anajiamini

Mmarekani mara ajitoe mara arudi ila mwamba kabaki na msimamo wake uleule anakiwasha tu

Russia ni lidude fulani la kuliogopa sana
 
Kwa miaka kadhaa kumekuwa na huu mjadala: Je, ndege vita na silaha za China zina ubora gani katika medani ya kivita na hazijawahi kujaribiwa?

Hatimaye jibu limeanza kupatikana.

Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 6 za India aina ya Rafale, zilizotengenezwa nchini Ufaransa wakitumia ndege vita za China J-10C zenye China's radar and missile systems PL-15

India spent about USD 300 mln per Rafale. Unaweza kupiga hesabu ujionee hasara iliyopata India kwenye shambulio hilo.

Hili shambulizi lilikuwa na udambwi dambwi wa electronic warfare ulioonyeshwa na PL-15E missiles.

Hizi missiles kwanza zina ubora wa hali ya juu inapohusu targeting, hapa nadhani India Airforce wanaweza kutoa ushahidi wa kina kuhusu hilo.

Lakini pia zina uwezo mkubwa wa kuzuia jamming attempts.

Adui yoyote mwenye weak electronics warfare tech kama India asingeweza kufanya jamming kwa PL-15E missiles zilizokuwa zikifyatuliwa na J-10C.

Ikumbukwe kuwa J-10C ni 4th generation tu, kwa sasa China ina 5th gen na 6th gen fighter jets.

Wiki moja iliyopita India walisaini mkataba na Ufaransa kununua carrier based Rafale 23 kwa USD 7.4 billion. Je, India watanunua au watasitisha mkataba huo?

Natazamia kwa hamu tena India ijaribu kuchokoza jeshi la Navy la Pakistan ambalo nalo karibuni walinunua meli vita 4 aina ya 054AP kutoka China.

Ambazo zina many supersonic anti-ship missiles zikizamisha zile za India, ili dunia ijionee tena ubora wa meli vita za China.
​
Mpaka sasa hakuna evidence ya Rafale hata moja kuangushwa. Hata moja, wewe unadai sita!

Kama unayo evidence leta hapa unitag.
 
Source yako hainyeshi wapi Rafales 6 zimedondoshwa na Pakistan.

Inaonyesha claim ya Rafale moja, ambayo French officials wanafanya investigation zaidi kama kuna nyinginezo.

Source yako inaonyesha maeneo ambayo India imeshambulia ndani ya Pakistan kwa kutumia ndege. I expected kama Pakistan wana Air Defense systems nzuri wazuie mashambulizi, Pakistan kama wana ndege bora waingie nazo India wafanye air attack. After that tutasema kweli ndege zao ni bora
Screenshot_20250507-230534~2.png
 
Kumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi. Ajabu china na urusi huwa inawachukua miaka mingi sn kujbu au kutengeneza ndege vita inayokuwa imetengenezwa na marekani sasa kataa hili upewe data ya generation za ndege vita za marekani zmetoka mwaka gn na china na urusi imewachukua miaka mingapi nao kutengeneza.
 
Source yako hainyeshi wapi Rafales 6 zimedondoshwa na Pakistan.

Inaonyesha claim ya Rafale moja, ambayo French officials wanafanya investigation zaidi kama kuna nyinginezo.

Source yako inaonyesha maeneo ambayo India imeshambulia ndani ya Pakistan kwa kutumia ndege. I expected kama Pakistan wana Air Defense systems nzuri wazuie mashambulizi, Pakistan kama wana ndege bora waingie nazo India wafanye air attack. After that tutasema kweli ndege zao ni boraView attachment 3327315

Maneno yasiwe mengi soma alichosema huyo high ranking intelligence official wa Ufaransa

Screenshot_20250507-231929.jpg

Kwa akili zako unafikiri kuna chanzo cha Magharibi kitakiri hasara yote waliyopata India.

This is business lazima walinde sana reputations za bidhaa zao

Halafu soma hiyo heading kwa jicho la tatu: officials examine further possible losses
 
Kwa miaka kadhaa kumekuwa na huu mjadala: Je, ndege vita na silaha za China zina ubora gani katika medani ya kivita na hazijawahi kujaribiwa?

Hatimaye jibu limeanza kupatikana.

Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 6 za India aina ya Rafale, zilizotengenezwa nchini Ufaransa wakitumia ndege vita za China J-10C zenye China's radar and missile systems PL-15

India spent about USD 300 mln per Rafale. Unaweza kupiga hesabu ujionee hasara iliyopata India kwenye shambulio hilo.

Hili shambulizi lilikuwa na udambwi dambwi wa electronic warfare ulioonyeshwa na PL-15E missiles.

Hizi missiles kwanza zina ubora wa hali ya juu inapohusu targeting, hapa nadhani India Airforce wanaweza kutoa ushahidi wa kina kuhusu hilo.

Lakini pia zina uwezo mkubwa wa kuzuia jamming attempts.

Adui yoyote mwenye weak electronics warfare tech kama India asingeweza kufanya jamming kwa PL-15E missiles zilizokuwa zikifyatuliwa na J-10C.

Ikumbukwe kuwa J-10C ni 4th generation tu, kwa sasa China ina 5th gen na 6th gen fighter jets.

Wiki moja iliyopita India walisaini mkataba na Ufaransa kununua carrier based Rafale 23 kwa USD 7.4 billion. Je, India watanunua au watasitisha mkataba huo?

Natazamia kwa hamu tena India ijaribu kuchokoza jeshi la Navy la Pakistan ambalo nalo karibuni walinunua meli vita 4 aina ya 054AP kutoka China.

Ambazo zina many supersonic anti-ship missiles zikizamisha zile za India, ili dunia ijionee tena ubora wa meli vita za China.
​
Na ndege za kisamia vipi?
 
Kumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi. Ajabu china na urusi huwa inawachukua miaka mingi sn kujbu au kutengeneza ndege vita inayokuwa imetengenezwa na marekani sasa kataa hili upewe data ya generation za ndege vita za marekani zmetoka mwaka gn na china na urusi imewachukua miaka mingapi nao kutengeneza.
China hawajashindwa kuichukua Taiwan, na kwanza wao wanaitambua kama China.
 
Kumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi.
Kuhusu Taiwan kipaumbele cha China ni peaceful re-unification. Taiwanese kwao ni brothers and sisters

Nani alikwambia China haitengenezi engine zao? Jaribu kugoogle WS-15 na WS-20 engines ujionee
​
 
Back
Top Bottom