Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Mashine hiyo
images (30).jpeg
 
Maeneo mengi duniani katika uwanja wa vita, silaha zilizotamalaki na kunesha usitahimilivu na ufanisi ni za China na Urusi.

Hao mabepari wa magharibi wanajua kukuza bei tu.
Ndiyo maana vita ya Ukraine Urusi anawachapa washirika wa ukraine na silaha zao.

Tatizo China tunamchukulia poa. Silaha bei poa na ufanisi mzuri.
THAAD ya usa kwa set moja ni dollar bi 8 sawa na 25 trilion tsh ukija kwenye uhalisia amna kitu MIC ya usa wanapiga sana pesa ndo maana nancy pelose ni bepari hasa
 
Trump kasema its shame for India..

Ila Jana nilicheka sana yaani Vita inaanza Ndege 5 zimeangushwa and India wao wamefanikiwa kubomoa msikiti shehemu kadhaa.. Pengine hizo ndge zilifungwa injini za bajaj.

Ndege vita zinnahitaji modifications kadhaa Israel anajua haya.. Akinunua ndege anaipiga chini yote anafunga vifaa vyake Mwenyewe.. ndio maana hashikiki... Israel kinachomsaidia ile project yake ya kutengeneza ndege vita yake mwenyewe and Marekani akaingilia kati kuikwamisha ndio chanzo kikuu cha High Tech.. and Mwishowe akawauzia China tech ya Ndege na China ametisha kwa hiyo tech ya hizo Ndege za Ravi fighter jet
Mmeshaanza propaganda za israel ndege itengenezw usa halafu yeye aje kuipiga chini yote si atengeneze yake sasa mbona ni rahis sana
 
Mmeshaanza propaganda za israel ndege itengenezw usa halafu yeye aje kuipiga chini yote si atengeneze yake sasa mbona ni rahis sana
Hivi unajua hizo ndege ukizinunua kama zilivyo watengenezaji wakiamua kukuua wanakua tu zina killer switch kama vile ukinunua iphone ya wizi mwenyewe akitaka usiitumie ana lock tu.. Israel tech zake zipo mbali sana mkataba tu wa kutengeneza ndege zake unamzuia tu. ila alishawahi unda ambazo ndio China anatesa tu hadi leo kiufupi iliakiwa Israel ndio angekuwa anauza hizo ndege.. LAVI Project
The IAI Lavi was a single-engined fourth-generation multirole jet fighter developed in Israel by Israel Aircraft Industries (IAI) during the 1980s. It was a small, smart, highly robust fighter that was to be the IAF's solution for the future battlefield. Its uniqueness lay in the combination of a physically small plane with very sophisticated, software-rich systems, which meant lower purchase, usage, and maintenance costs compared to other planes. The Lavi program was formally canceled in 1987.

Wikipedia+2

Lavi fighter jet ndio hizo J10 Za china.. walimumua disigne kama ilivyo Israel tech yao wanaendeleza hadi leo ndege nyingi duniani zinafungwa vifaa vya israel kichekesho hadi Drone za Iran
1746657622886.png


Ingia website ya Elbit System. tafuta boostS F-35

FUNGUA HII

Why Only Israel Can Customize America's F-35 (At Least for Now)​

The US doesn't want other countries messing with the F-35—but Israel gets special privileges.

'Israel only country allowed by US to modify new stealth fighter jets'​

WIRED reports that Israel will be alone among the Pentagon’s customers that will be permitted to outfit the warplane with its own technological enhancements.​

 
Ndege za India zimeingia anga la Pakistan na kushambulia.

Pakistan wanalalamika raia wao wameuawa kwa mashambulizi ya anga, India inadai imeshambulia kambi za magaidi. Pak wanatishia kulipiza kisasi.

Pakistan inadai imedungua ndege za India, na zikadondoka kwenye ardhi ya India. (Pakistan haitodaiwa visual evidence, simply itasema ndege zimedondoka India kwahiyo India wanaficha ukweli). Ila visual evidence ya airstrikes za ndege za India ndani ya Pakistan ipo. Mpaka sasa zinazunguka picha za hapa na pale kuwa ni za leo.
Hata visual Evidence ya Ndege ya India ipo, Ufaransa wenyewe wanakiri moja imetunguliwa na hizo nyengine hawajakataa wala kukubali kama zimetunguliwa ila wanasema wanapeleleza zaidi, pia sio ndege zote zilizotunguliwa ni Rafael ni kachumbari ya ndege ikiwemo rafael.

Hizi baadhi ya Evidence maeneo mbalimbali zilipoanguka ndani ya India


The Hindu Wali report na ushahidi wa picha Ndege 3 (wakafuta article ila imehifadhiwa Archive)


Ushahidi wa Video punjab ndege iliodondoka


View: https://x.com/OSINT_Insider/status/1919911920653553702

Ushahidi wa Video Ndege nyengine iliodondoshws Kashmiri


View: https://www.reddit.com/r/Kashmiri/comments/1kggopm/fighter_jet_shot_down_near_srinagar/?utm_source=share&utm_medium=mweb3x&utm_name=mweb3xcss&utm_term=1&utm_content=share_button

Hapa Reuters Waki report Ndege 3 zimedondoshwa na local government wamekiri

 
Ila nasikia kuna fake news mno picha za 2018 huko zimerejeshwa za mig... India imebidi watoe picha za satelite kuondosha uzushi maana imefikia hadi Trump kacheka na kusema its shame for India

View: https://youtu.be/PqztKTld_Fg
 
Hapa nakubaliana nawe kwa 100%

Pamoja na nchi za NATO kumuunga mkono Ukaraine imagine Putin wala hafikirii kusimaisha vita kwa jinsi anajiamini

Mmarekani mara ajitoe mara arudi ila mwamba kabaki na msimamo wake uleule anakiwasha tu

Russia ni lidude fulani la kuliogopa sana
Unaongea upumbavu aisee...
Eti lidude...hivi unajua nu wanajeshi wangapi wa Russia wamekufa?...wale ni watoto wa maskini ndio maana hawazungumzwi....usiwe lofa..
Viongozi wa aina ya Putin ni washenzi sana...yeye kaficha wanae na ndugu zake huku anawasogesha front watoto wa maskini wakafe...fucken selfish 😑!
Alafu unasema hutaki vita isimane..muweke mkeo mbele kama unapenda vita..
 
Unaongea upumbavu aisee...
Eti lidude...hivi unajua nu wanajeshi wangapi wa Russia wamekufa?...wale ni watoto wa maskini ndio maana hawazungumzwi....usiwe lofa..
Viongozi wa aina ya Putin ni washenzi sana...yeye kaficha wanae na ndugu zake huku anawasogesha front watoto wa maskini wakafe...fucken selfish 😑!
Alafu unasema hutaki vita isimane..muweke mkeo mbele kama unapenda vita..
Wewe ni lofa sana

Nini maana ya kuwa mwanajeshi? Unafikiri vile viapo wanaapa kwa lengo gani?

Ukraine imeshapoteza wanajeshi wengi sana mpaka imefikia hatua wanaume wanakimbia nchi maana wanawakusanya kusanya mitaani kuwarecruit waingie vitani

Acha Putin awafundishe adabu Ukraine na mercenaries kutoka mataifa ya NATO
 
Nchi pekee yenye uwakika wa kuisapori India ni Russia lkn Marekani na Ulaya wanafiki tu kwa India !!!!

lkn India wenyewe ndio inajipendekeza kwa Wazungu wa West.. Jesh la Pakistani Marekani ananguvu kubwa ya ushawishi kama ilivo kwenye Jesh la Misri,,!!!!

MAREKANI awezi kuungana na India kuitwanga PAKISTAN lkn anaweza kujiunga Pakistan kuitwanga India..

Shida nyengine INDIA inapendage mivita vita japo Vita aviwapendi wao. !!!

Waoga frani kwenye vitendo !!!

lkn ukiwakuta kwenye mazoez haaaaaa wapo Mzuka kinomanomaa lkn Wapeleke Vitani hoooo Akili yake yote inamuaza Demu wake ndio anamkosa !!!!

kwaiyo wanapoteza utimamu wa mafunzo maelekezo..!!!

yeye ndio kaanzisha Vita lkn niyeye ndio atatafuta Aman kwa galama yoyote!!!!!!
 
THAAD ya usa kwa set moja ni dollar bi 8 sawa na 25 trilion tsh ukija kwenye uhalisia amna kitu MIC ya usa wanapiga sana pesa ndo maana nancy pelose ni bepari hasa
Kuna yale mavifaru ambayo walikuwa wakiyasifu kuwa ni bora sana na ya gharama kubwa zaidi duniani ambayo mataifa ya NATO waliipa Ukraine Leopard 2, Challenger 2, na M1 Abrams

Yameingia uwanja wa vita guess what happened? Hatusikii tena kelele zao. Mengi yamebaki machumachuma tu skrepa

MIC ni wapigaji sana hasa kwenye pricing
​
 
Back
Top Bottom