Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 5 za India aina ya Rafale, zilizotengenezwa nchini Ufaransa wakitumia ndege vita za China J-10C zenye China's radar and missile systems PL-15
Mbona hatujaona hiyo 'dog fight '...?

T14 Armata
 
Wewe unaona hizo picha ni za ndege?

Picha za drop tank kwa ajili ya kuongeza range ya fighter jet. Drop tank inabeba mafuta ya ziada yanatumika kwanza kisha inadondoshwa ndege ikiwa angani.
Ndivyo baadhi ya Wahindi wanasema kwenye mitandao ya kijamii

Mtazoea sasa hivi mko kwenye coping period

Tangu hilo shambulizi sasa hivi jeshi la India liko kimya hatusikii tena zile harakati zao za kushambulia
 
Rafale 6 zimeenda kushambulia pakistani zote zimeangushwa ila zimeangukia india hapa kuna walakinI yani haiaminiki kabisaaa
Ina maaa hakuna hata moja iliyoangukia pakistan? Ina maana ndege za rafale zina uwezo wa kujikongioja na kuchagua pa kuangukia baada ya kupigwa kombora?
 
Unajua kuhusu long range za missiles?​
 
Trump kasema its shame for India..

Ila Jana nilicheka sana yaani Vita inaanza Ndege 5 zimeangushwa and India wao wamefanikiwa kubomoa msikiti shehemu kadhaa.. Pengine hizo ndge zilifungwa injini za bajaj.

Ndege vita zinnahitaji modifications kadhaa Israel anajua haya.. Akinunua ndege anaipiga chini yote anafunga vifaa vyake Mwenyewe.. ndio maana hashikiki... Israel kinachomsaidia ile project yake ya kutengeneza ndege vita yake mwenyewe and Marekani akaingilia kati kuikwamisha ndio chanzo kikuu cha High Tech.. and Mwishowe akawauzia China tech ya Ndege na China ametisha kwa hiyo tech ya hizo Ndege za Ravi fighter jet
Israel haijakutana na nchi yenye AIDS ya uhakika mara nyingi huwashambulia militias ambao hawana hata hizo AIDS.Siku akikutana na nchi yenye full air defense system hapo ndo tutajua
 
Wewe ni lofa sana

Nini maana ya kuwa mwanajeshi? Unafikiri vile viapo wanaapa kwa lengo gani?

Ukraine imeshapoteza wanajeshi wengi sana mpaka imefikia hatua wanaume wanakimbia nchi maana wanawakusanya kusanya mitaani kuwarecruit waingie vitani

Acha Putin awafundishe adabu Ukraine na mercenaries kutoka mataifa ya NATO
Awafundishe adabu wakati kajificha Klemlin?...watoto wa makapukupu ndio wanasongeshwa mbele.....
Anachukua wafungwa anawapeleka front wakauwawe......Wagner Ndani....mpaka kamuua Prighozin kisa anamdai na hapeleki silaha huku wagner wakifa kama kuku...North ndani🇰🇷 na wao wamekaangika vibaya...ndio kufundisha adabu huko...
 
Rafale 6 zimeenda kushambulia pakistani zote zimeangushwa ila zimeangukia india hapa kuna walakinI yani haiaminiki kabisaaa
Ina maaa hakuna hata moja iliyoangukia pakistan? Ina maana ndege za rafale zina uwezo wa kujikongioja na kuchagua pa kuangukia baada ya kupigwa kombora?
Maana yake zimewahiwa angani zikiwa huko huko kwenye anga la India kabla hazijavuka mpaka kufanya uharibi ndani ya Pakistan.
 
Kwa hiyo Pakistan walipokiri kuwa India ndio ilianza kuwashambualia unekubaliana nao sio?

Ila PM wa Pakistan anaposema kuwa Pakistan wametungua ndege za India na hata senior intelligenece officer wa Ufaransa amekiri ni habari za uongo si ndio?

Umejiona jinsi matatizo yako ya uelewa yanapoanzia?

Kwa hiyo wewe unakubaliana tu na habari za Pakistan ambazo zina mlengo chanya kwa India?
​
Mkuu huyo ni mtumwa sana wa nchi za magharibi ndio hao hao wako radhi wawe mbwa kuzaliwa ulaya kuliko mtu kuzaliwa Africa! cjui anachobisha ni nini? wakati umempa source
 
Mpaka sasa hakuna evidence ya Rafale hata moja kuangushwa. Hata moja, wewe unadai sita!

Kama unayo evidence leta hapa unitag
🚨🇵🇰🇮🇳 BREAKING: PAKISTAN has SHOT DOWN 5 INDIAN jets during India's attack.
 
Attachments

  • IMG_20250509_002057.jpg
    IMG_20250509_002057.jpg
    242 KB · Views: 25
Israel haijakutana na nchi yenye AIDS ya uhakika mara nyingi huwashambulia militias ambao hawana hata hizo AIDS.Siku akikutana na nchi yenye full air defense system hapo ndo tutajua
Its naive to argue with kids
 
Back
Top Bottom