Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Kumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi. Ajabu china na urusi huwa inawachukua miaka mingi sn kujbu au kutengeneza ndege vita inayokuwa imetengenezwa na marekani sasa kataa hili upewe data ya generation za ndege vita za marekani zmetoka mwaka gn na china na urusi imewachukua miaka mingapi nao kutengeneza.
Kwamba Russia ana desa kwa USA? Una uhakika na hili?
 
Chumq hiki hapa. Modi akikiona hata kwenye TV mapigo ya moyo yanabadilika
j-10c-paf-2-1.png
 
Maoni yako tu nadhani ujafatilia vizuli undugu wa Russia na India chunguza zaid mkuu !!!!

miaka yote ata iyo Nuclear ni Russia made. Vita vyote Russia yupo na India Russia awezi kumwacha Mashilika wake kisa China atakasilika !!!!!

Russia kwann asiwe upande wa India na Vita avimuusu China!!!!

Ata itokea Vita kati ya China na India bado Russia isamsaindia India japo kuzuiya Mashambulizi sio kushambulia kuzuiya !!!
uku Russia ikipambana kuwapatanisha !!!

Russia jukum lake ni kuwapatanisha Washilika wake ataki wapigane wenyewe kwa wenyewe !!!

Wotei w2 Washilika wa Russia kama ujaona Mwaka uliopiga India na China zinavutana kugombeya Mpaka upande wa pili yani Russia kaaandaa Mazoezi ya KIJESH yakiwashilikisha wote ao na wengine Washilika...

seem ya pili Russia mchunguze kupitia Israel japo ni Mshilika mkubwa wa IRAN !!!

Russia na India wanamikataba tangu n tangu ya ulinzi kumbuka pia Wanajesh Wa India walikufa wengi wakati wa Vita ya pili ya Dunia walipigana Upande wa Russia kuwazuiya Wajerman,, !!!

CHINA na Pakistan nao Washilika miaka mingi ata uyu Marekani kajipendekeza sana kuingia kwenye mfumo wa Jesh la Pakistan !!!

Marekani lengo lake kuwafitinisha zaid na India. WAZUNGU wanazichukia nchi zenye idadi kubwa ya watu
India ni Nchi ambayo ina marafiki kote kote Urusi, Usa, Ulaya etc kutokana na Nature hio hakuna Nchi ambayo ina Urafiki wa Kweli na India,

Usitegemee hata siku moja China na India wapigane Urusi Amsaidie India,

Kuna stake kubwa sana baina ya Urusi na China
Screenshot_20250509_164418_Chrome.jpg


Urusi hawezi kustake hii biashara, India hana cha Kumpa Urusi zaidi ya kutumika tu kuuza Biashara za Urusi.
 
Hayo umesema wewe usiye na ujuzi wowote kuhusu fighter jets. ​
Wewe unaujuzi gani? Kusoma mtandaoni ndiyo umekuwa na ujuzi? Wewe ni mahaba Niue....mchina hajawahi kumiliki tech yoyote ya maana zaidi ya reverse engineering
 
Screenshot_20250509-194751.png


Tushasema vita ambavyo US hausiki zaidi ya kumpromote China Adui yake kimaslahi havitadumu.

Millitary experts wanakubaliana sio tu India kupotezea ndege bali hiyo Operation Sindoor ni significant millitary failure.
 
Wewe unaujuzi gani? Kusoma mtandaoni ndiyo umekuwa na ujuzi? Wewe ni mahaba Niue....mchina hajawahi kumiliki tech yoyote ya maana zaidi ya reverse engineering
Upande wa NATO na West Rafale kwa sasa ndiyo fighter jet ya pili kwa ubora nyuma ya F-22 na F-35

J-10C iliyoundwa mwaka 1999 na ambayo ni 4th gen ime-outperform Rafale in real combat better missiles better radar

Inakuwaje mwenye reverse engineering anakuwa bora zaidi?
​
 
India ni Nchi ambayo ina marafiki kote kote Urusi, Usa, Ulaya etc kutokana na Nature hio hakuna Nchi ambayo ina Urafiki wa Kweli na India,

Usitegemee hata siku moja China na India wapigane Urusi Amsaidie India,

Kuna stake kubwa sana baina ya Urusi na China
View attachment 3328847

Urusi hawezi kustake hii biashara, India hana cha Kumpa Urusi zaidi ya kutumika tu kuuza Biashara za Urusi.
Asante kwa haya madini​
 
China imesema hawajawahi unda ndege kama Pakistan anayodai kiufupi hawazitambui hiyo Model ya j10
 
Maeneo mengi duniani katika uwanja wa vita, silaha zilizotamalaki na kunesha usitahimilivu na ufanisi ni za China na Urusi.

Hao mabepari wa magharibi wanajua kukuza bei tu.
Ndiyo maana vita ya Ukraine Urusi anawachapa washirika wa ukraine na silaha zao.

Tatizo China tunamchukulia poa. Silaha bei poa na ufanisi mzuri.
Yaan huyu mchina miaka 30 ijayo atakuwa mbali sana
 
Hivi ilikuwaje? ilitokea dog fight ama?
Hamna dogfight pale.

India imeingiza ndege zake anga la Pakistan kushambulia 6 targets na Pakistan ilisema siku hiyo watu zaidi ya 30 walikufa. India inadai ilishambulia kambi za kigaidi, Pakistan inadai India ilishambulia raia wema. Some of the footage ni kama msikiti hivi ulilipuliwa.

After that fighter jets za India zikaondoka anga la Pakistan baada ya kukamilisha shambulizi lakini tiyari Pakistan ikajua kuna intruders angani. Pakistan ina AEW aircrafts ilizinunua Sweden, AEW zina range kubwa kuliko fighters na ndio kazi yake kusoma anga na ground na zikaona ndege za India zikiwa zinarudi kwao. Zikatumwa ama JF-17 Block III au J-10CE za China kurusha long range air to air missiles PL-15E na ground to air missiles HQ series nazo kutoka China. Hizo missiles zikakutana na ndege za India kwenye anga la India nje kidogo ya mpaka na ndio some of the jets zimeangushwa mpaka sasa exact number haipo.

Siku mbili baadae ndio India wakafanya SEAD, maana tiyari ishakuwa kama tug of war. Mwanzoni wangefanya SEAD au kwenda na AEW ingeonekana wanavamia state na ni act of war. Sasa wameanza kwa kudai "wanashambulia magaidi" then response ya Pakistan ndio itafanya waingie mapigano ama lah.
 
Back
Top Bottom