T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hivi sasa usiku huu India imeshambulia airbase ya Pakistan. Na Pakistan leo hii imeomba mkopo wa dharura IMF, na wamepewa $1 billion. Wamepewa bailout na wamepewa mkopo mwingine.
Pakistan iko in economic crisis na inataka vita.
Wakati huo Indian Navy inasogeza naval forces maana huwa zinachelewa kuandaliwa kivita. Na mipakani wanashambuliana kwa suicide drones na artillery. Vita bado, kwa sasa ni attacks chache.