baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Eh mkuu wewe naona upo tu na propaganda za wahindi, mpaka site za West kibao zimereport. Nimekupa ushahidi before Reuters Wamereport Ndege 3, Usa kareport ndege 2 na Cnn kareport atleast Rafael 1. Ukumbuke hawa wana report Ndege zao za Magharibi, Claim ya Jeshi la Pakistan ni Ndege 5, 3 rafael, mbili za kirusi.Rafale imeangushwa moja ambayo inaonekana bawa lake tu, other parts sijui ziko wapi. Wewe hizo Rafale zako 6 unazoota hata picha ya moshi huna. Wakati India inashambulia kambi za kigaidi, airbase na bandari za Pakistan.
Pakistan maskini jeuri hana hela anakopa IMF akaanzishe vita. Wana njaa kichwani.
Jeshi la Pakistan lime release hadi coordinates ambazo wame shoot hizo ndege, Voice za marubani walizi hack. Hizo coordinates waandishi wa habari wakienda wa naambiwa tu kuna unidentified crash, mpaka vyombo vya India vinareport hivyo. Unless jeshi la Pakistan limepiga vibwengo ila definetely kuna Crash hayo maeneo na waandishi Mbalimbali wa kimataifa kama BBC, Al jazeera, Guardian etc wame report.
At same time hadi leo Jeshi la India lipo kimya wana kataa kureport chochote.