Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Aah Pakistan huwa wanasema hivyo hivyo miaka yote. Alafu mwishoni wanajeshi wake wanachapwa viboko na Wahindi wakijisalimisha.

Su-30 MKI, Tejas, Mig-29, Rafale zinaweza tumika kwenye shambulizi. Ila Rafale 6 kupigwa kwa usiku mmoja sahau na futa kichwani.

Kwahiyo hizi source zako za CNN na Ufaransa ndio si za Magharibi, na wao hawawezi sema ukweli?

Umelete source yao wanasema ndege moja, kama udhibitisho. Then unasema hawawezi sema ukweli kuhusu nyingine 5. Sasa kama huwaamini kwanini unawatumia kama source.

Pakistan hao wanaosema hawana evidence ila wanajificha kwenye "zimeangukia India".

Ukituliza akili mwenyewe, utagundua ni mvivu pekee ataamini habari za vichochoroni kwamba Rafales 6 zilienda kushambulia Pakistan, zikapigwa na zote zikadondoka India, na ushahidi hamna.
Watu wapo kazini kuchunguza ilikuwaje ili wakwepe aibu Taiwan ikitokea ya Ukraine.
Mkuu hatimae jeshi la India lazungumzia ukweli kuhusu hili sakata
Air Marshal A.K. Bharti ameongea Soma hiyo link https://finance.yahoo.com/news/india-breaks-silence-rafale-jet-104619543.html
 
إِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلَّذِينَ يُقَٰتِلُونَ فِي سَبِيلِهِۦ صَفّٗا كَأَنَّهُم بُنۡيَٰنٞ مَّرۡصُوصٞ
Inna Allaha yuhibbu allatheena yuqatiloona fee sabeelihi saffan kaannahum bunyanun marsoos

Verily, Allah loves those who fight in His Cause in rows (ranks) as if they were a solid structure.
(Qur-aan 61:4)

Allah awape ushindi ndugu zetu wa Pakistan.
Kushabikia ughaidi jambo la ajabu na aibu kwa binadamu walio staarabika.
 
Mwenyewe lakini kila siku anafanya mazoezi ya kijeshi ya mkwara!? Mwambie aingie akaweke utawala wake, ili tuthibitishe
Kwani Taiwan ni member Umoja wa Mataifa? Mbona walitimuliwa kitambo na kuitambua Uchina kwamba ndilo Taifa halali la ku-represent Taiwan - Taiwan haina hata kura trufu ndani ya umoja WA Mataifa, msisikilize propaganda za USA zenye lengo LA kupandikiza mbegu za chuki baina ya Taiwan na China ili mwisho WA siku USA hafahidike Kia aidha kuuza silaha au kuingilia kati katika vita baina ya Taiwan na China, America ipate kisingizio cha kui-destroy totally China, uzuri China amekwisha litambua hilo, ndiyo maana siku hizi China hiko bennet na Urusi, America ikifanya ujinga wa kujaribu kuichokoza Uchina wataimaliza America kwa kushirikiana na Urusi,Uchina,Korea Kasikazini na Iran.
 
Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 5 za India aina ya Rafale zilizotengenezwa nchini Ufaransa, wakitumia ndege vita za China J-10C zenye China's radar and missile systems PL-15.
India na China si maswahiba kule BRICS
 
Kwani Taiwan ni member Umoja wa Mataifa? Mbona walitimuliwa kitambo na kuitambua Uchina kwamba ndilo Taifa halali la ku-represent Taiwan - Taiwan haina hata kura trufu ndani ya umoja WA Mataifa, msisikilize propaganda za USA zenye lengo LA kupandikiza mbegu za chuki baina ya Taiwan na China ili mwisho WA siku USA hafahidike Kia aidha kuuza silaha au kuingilia kati katika vita baina ya Taiwan na China, America ipate kisingizio cha kui-destroy totally China, uzuri China amekwisha litambua hilo, ndiyo maana siku hizi China hiko bennet na Urusi, America ikifanya ujinga wa kujaribu kuichokoza Uchina wataimaliza America kwa kushirikiana na Urusi,Uchina,Korea Kasikazini na Iran.
Waambie wapumguze porojo, waingie Taiwan.
 
Eti wataimaliza Marekani..🤣🤣
Vipi uko Mkuranga madukani hapo.
 
Eti wataimaliza Marekani..🤣🤣
Vipi uko Mkuranga madukani hapo.
Soma vizuri nilicho andika na ukakitafakari na sio kukasirika ovyo tu, kisa hamtaki watu waijadiri Merikani, kwenu Merikani ni Dunia -inasikitisha sana sana!!
 
Hata miezi sita haijafika ndege zao zimeanza kuanguka
 
​
Ndani ya miezi michache baada ya uzinduzi sijaona

Miezi 6 ipi unayozungumzia? Hiyo ndege ni F-7

F-7 ni fighter jets za muda mrefu zimeanza kutengenezwa tangu miaka ya 1960 na uzalishaji ulishaachwa

Kwenye international standards tayari ziko outdated

Zilitumika na jeshi la Tanzania dhidi ya Idd Amim wakati wa vita vya Kagera

Na bado taarifa ya chanzo cha kuangauka kwa ndege hiyo hakijatolewa rasmi na wenye mamlaka
​
 
Back
Top Bottom