Maoni yako tu nadhani ujafatilia vizuli undugu wa Russia na India chunguza zaid mkuu !!!!Russia haiwezi kuiunga mkono India hata kidogo, kwa sababu China rafiki mkubwa wa Russia yuko upande wa Pakistan
miaka yote ata iyo Nuclear ni Russia made. Vita vyote Russia yupo na India Russia awezi kumwacha Mashilika wake kisa China atakasilika !!!!!
Russia kwann asiwe upande wa India na Vita avimuusu China!!!!
Ata itokea Vita kati ya China na India bado Russia isamsaindia India japo kuzuiya Mashambulizi sio kushambulia kuzuiya !!!
uku Russia ikipambana kuwapatanisha !!!
Russia jukum lake ni kuwapatanisha Washilika wake ataki wapigane wenyewe kwa wenyewe !!!
Wotei w2 Washilika wa Russia kama ujaona Mwaka uliopiga India na China zinavutana kugombeya Mpaka upande wa pili yani Russia kaaandaa Mazoezi ya KIJESH yakiwashilikisha wote ao na wengine Washilika...
seem ya pili Russia mchunguze kupitia Israel japo ni Mshilika mkubwa wa IRAN !!!
Russia na India wanamikataba tangu n tangu ya ulinzi kumbuka pia Wanajesh Wa India walikufa wengi wakati wa Vita ya pili ya Dunia walipigana Upande wa Russia kuwazuiya Wajerman,, !!!
CHINA na Pakistan nao Washilika miaka mingi ata uyu Marekani kajipendekeza sana kuingia kwenye mfumo wa Jesh la Pakistan !!!
Marekani lengo lake kuwafitinisha zaid na India. WAZUNGU wanazichukia nchi zenye idadi kubwa ya watu