mgogoro wakulima wafugaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu hali ya usalama katika mgogoro wa wakulima na wafugaji Tunduru

    IKULU, DODOMA, TANZANIA. Mheshimiwa Rais, Ninasimama mbele yako kwa masikitiko makubwa na moyo mzito kuwasilisha kwako barua hii ya wazi, ninachukua hatua hii kufuatia hali ya taharuki na tishio kubwa la usalama linaloendelea kuwakabili Wananchi wa Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma. Tangu...
  2. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji Kilosa umeanza upya. Serikali iingilie kati haraka, kuna hatari kubwa

    Habari za muda huu waungwana, naomba kutoa kero yangu haswa kwenye Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilosa, mimi ni mkazi wa Dumila. Kumekuwa na kero ya wafugaji wa Jamii ya Kimasai kuingiza ng'ombe kwenye mashamba ya watu yenye mazao bila hofu yoyote ile. Nasema hivi sababu nishalima Kimamba...
Back
Top Bottom