mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Naomba kujua mgogoro wa Ngorongoro maana mbuga ni muhimu haiwezi kuhamishwa Ila ndugu zetu nao muhimu pia

    Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
  2. Niulize chochote kuhusu mgogoro wa Ethiopia??

    Ethiopia Serikali ya Ethiopia bado haijapona. Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray uliodumu miaka miwili 2020-2022🪙 Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa jeshi la FANO la jimbo la Amhara. Ikikumbukwe hili jeshi liliwasaidia jeshi la muungano la Ethiopia...
  3. Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

    ◾Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena imeshutumiwa na kampuni ya wawekezaji wa kigeni kwa kukiuka masharti ya mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili (BIT) ◾Haya yanajiri wiki chache tu baada ya Tanzania kukubali kulipa dola milioni 90 kwa kampuni ya Australia kutatua kesi ya usuluhishi...
  4. Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) yaingilia kati mgogoro wa Kampuni ya Bima ya IGT kushindwa kulipa madeni

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefafanua juu ya kinachoendelea katika Kampuni ya Insurance Group of Tanzania (IGT) ambapo kuna Watanzania wanaodai kuwa wanaidai Kampuni hiyo lakini imekuwa ikiwazungusha malipo yao kwa miaka kadhaa sasa. Awali andiko la Mwanachama wa...
  5. Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

    Napenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani. Mambo ya geopolitics. Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani. swalii lolote
  6. Simba mmekubali kuingia kwenye huu mtego, Yanga hakuna mgogoro

    Ndo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi. Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa nane nane 1. Jiulizeni mahakama ilitoa hiyo jukumu zamani, kwanini iibuke Leo mechi ikiwa karibu😄😅...
  7. Rais wetu, mama Samia, ingilia kati mgogoro wa wafanyabiashara, watakuelewa wewe zaidi kuliko yeyote yule kwa sasa.

    Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote...
  8. Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi wa Wananchi na Kampuni ya Tanzania Road Haulage

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
  9. Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka, Waziri Silaa fuatilia kinachoendelea

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio. Mgogoro huo ulikuwa ukifukuta kimyakimya lakini kwa sasa umepamba moto kutokana na nyumba za wakazi wa eneo hilo...
  10. X

    Special thread: Mgogoro kati ya Urusi na NATO

    Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
  11. Spika wa Bunge, Dkt. Tulia aunda Kamati kufuatilia kama kuna uvunjifu wa Haki za Binadamu katika mgogoro wa ardhi unaohusisha Kanisa la EFATHA

    1.0 Waheshimiwa Wabunge, tarehe 14 Februari, 2024 nilipokea barua kutoka Kanisa la EFATHA, ikiwasilisha utetezi wake kuhusu mchango alioutoa Mhe. Deus Clement Sangu, (Mb) dhidi ya EFATHA, Mchango huo ulihusu mgogoro wa Ardhi kati ya Wawekezaji kwenye Shamba la Malonje na Vijiji vinavyolizunguka...
  12. Ni ngumu kuelewa ila anafutwa na icc ni marekani na sio netanyau na huenda huu ukawa mtego wa putin. Kuisambaratusha nato

    Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato. Ziko nchi tayali wameshaweka Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc. Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia...
  13. Kuhusu mgogoro unaosemekana ulitokea Handeni kati ya Wafanyabiashara na TRA Handeni

    Binafsi nimefanya utafiti nimejiridhisha pasi na shaka kuwa kile kinachodaiwa kwamba ulikuwa ni mgogoro kati ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Handeni na TRA, hususani Manager wa TRA Handeni mpaka kufikia hatua ya baadhi ya Wafanyabiashara kufunga maduka, ni mpango ulioratibiwa na baadhi ya...
  14. M

    Je, ni sahihi kununua shamba ambalo lilikuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka mitano?

    Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani. Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie kilimo kipi Kwa maana nikodi mashamba au ninunue ndipo nikapewa mchongo na mtu ambaye nafahamiana naye...
  15. F

    Waziri hana mamlaka ya kutoa hukumu kwenye mgogoro wowote ule. Ndio maana Bunge na Mahakama zetu havina nguvu

    Hapa Tanzania na nchi nyingi za kiafrika bunge na mahakama vipo kama mapambo tu na hutumika na wanasiasa wakitaka kufanya mambo yao. Inashangaza jinsi watanzania wengi wasivyojua haki zao na taratibu za kupata haki zao! Kwanini watu wengi hufikiri kuwa waziri ana mamlaka ya kuamua haki kati ya...
  16. Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao. Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
  17. Huenda mgogoro wa Kidiplomasia ukaanza kati ya Tanzania na Malawi baada ya uboreshaji wa Bandari ya Mbamba Bay kuanza

    Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa. Malawi imeilaumu Tanzania kwa kuanzisha mradi wa kuboresha na kupanua Bandari ya Mbamba Bay kwenye Ziwa Nyasa bila kuomba ridhaa, huku...
  18. Biden: Marekani haitashiriki katika Mgogoro kama Israel italipiza kisasi kwa Iran

    Rais Joe Biden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, ambayo ni chaguo la Baraza la vita la Israel baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani na makombora usiku wa Aprili 13, 2024 Tishio la vita vya wazi...
  19. Ujue mgogoro kati ya Elon Musk na Serikali ya Brazil hadi Brazil kutishia kuwafunga wafanyakazi wa x (Twitter).

    Siku chache zilizopita kumeibuka mgogoro wa kimahusiano kati ya mmiliki wa mtandao wa X ama Twitter Bwana Elon Musk na Serikali ya Brazil. Mgogoro huo umepelekea serikali ya Brazil kupitia Jaji wa Mahakama Kuu Bwana Alexandra Morales kutishia kuwaweka ndani wafanyakazi wa X na kuipiga X fine...
  20. B

    Waziri Silaa atinga Kariakoo, asema jengo lililouzwa lina Waqfu uliosajiliwa wizarani. Amshauri mnunuzi akamalizane na aliyempa hela

    WAZIRI JERRY SILAA ATOA SOMO, KAZI YA MSIMAMIZI WA MIRATHI NI IPI, WANUNUZI WA MALI ZA MAREHEMU WAWE MAKINI NA WASIMAMIZI WA MIRATHI KWANI KAZI YAO SIYO KUUZA MALI ZA MAREHEMU BALI KUGAWA MALI KWA KUFUATANA NA USIA, SHERIA ZA DINI AU MILA https://m.youtube.com/watch?v=3i97zL9ftTg 11 March 2024...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…