Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na...
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na...
Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu.
Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake.
Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
SERA ZANGU KAMA MGOMBEA BINAFSI 2025
Nipeni kura zanu, mm nitawafanyia haya yafuatayo😝🥲😛😛Nichagueni mm tuishi kama Mamtoni
1. Gharama ya ufungaji wa umeme itashuka na kuwa 10,000 kwa kila mwanakijiji kasoro mijini, 🤣😛😝hapa napata kura zote za vijijini🤣😛😝😝
2. Gharama ya unit ya umeme itashuja...
Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao
Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed...
Siku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai kuanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu maisha yake na kuwa yupo katika hatari baada ya kusema ukweli...
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi.
Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali.
Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama hicho.
Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga...
https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..
➡Mzee...
Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo,
Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Ni muhimu sana kwa wale wote ndani ya CCM,
wenye nia ya kugombea nafasi hizo muhimu za...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
ccm
chama cha mapinduzi
kumteua
mgombeamgombea mwenza
mgombea urais
mkutano mkuu ccm
mwenza
nchimbi
rais samia
rais samia suluhu hassan
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
urais
wananchi
watanzania
Hellow Tanganyika,
USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk
Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika.
Tujiulize yafuatayo;
1...
Huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru sio demokrasia napinga kwa nguvu zote inawezakana ni mbinu ya watu wasio watakia mema watanzania maskini ili kujinyakulia madaraka kinyume cha sheria kwa kujiteuwa wao wenyewe kwasababu mgombea huyu kuunda tume huru hakuwezi kuwa na...
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ?
Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.