mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Baada ya kuona Mbowe anapigiwa kampeni na machawa wa CCM, naona Lissu ni mgombea sahihi kwa sasa

    Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini. Nimegundua CCM inahofu kubwa...
  2. Kididimo

    Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  3. Mganguzi

    Democracy ya kweli ipo ccm sio CHADEMA mtu anagombea mnamuona msaliti? Mnamshambulia na kumtusi mlitaka mgombea gani?

    Tundu Lissu ndiye katuonyesha ujinga wa CHADEMA na ujinga wa wanachama wake. Wanachadema ni manamba wa mtu, tuseme CHADEMA iliundwa kwa ajili ya Mbowe tu au watu wa kaskazini. Lakini najiuliza swali, kwa nini demokrasia CHADEMA ni ngumu sana kuipata? Badala ya kumpima kwa hoja, wao wanamuona...
  4. Tlaatlaah

    Tetesi: Mgombea urais kupitia CHADEMA uchaguzi mkuu 2025, ni ama DR. W.P.Slaa au J.S.Warioba

    Za chini kwa chini yasemekana kwamba, Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri. Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo...
  5. Waufukweni

    LGE2024 Tabora: Ulevi, Matusi na Kujitenga ndio sababu Wananchi kumpigia Kura ya 'Hapana' Mgombea Uenyekiti

    Wananchi wa kitongoji cha NKENE,kijiji cha MAGULYATI,kata ya LOYA wilaya ya UYUI mkoani TABORA wamesema sababu za kumpigia kura za Hapana aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa kitongoji chao NYOROBI NANGI ni kutokuwa na ushirikiano na wananchi pamoja na tabia za ulevi na matusi...
  6. Bushmamy

    Tetesi: Arusha: Kada wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa mtaa kwa kupitia chama hicho apotea

    Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa. Siku chache kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa gari za polisi zilionekana zikizunguka mara kadhaa katika mitaa anayoishi. Hata...
  7. Inside10

    LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  8. Erythrocyte

    LGE2024 Tunduma: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Azikwa

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina Bali...
  9. JanguKamaJangu

    LGE2024 Katavi: Polisi yajibu madai ya Mgombea wa CHADEMA kupigwa na Diwani wa CCM, yasema alifanya fujo

  10. Mindyou

    LGE2024 Arusha: Mgombea wa CUF ashinda Uchaguzi Kijenge Kusini, alalamikia kuzuiwa kwa mawakala wa chama chao

    Wakuu, Katika kipindi hiki ambacho matokeo yanaendelea kutangazwa, mengine mapya yanaibuka. Aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) mshindi wa Uchaguzi katika mtaa wa Kijenge Kusini, kata ya Kimandolu, jijini Arusha, Shaaban Suleiman Mzava, ameeleza malalamiko yake juu ya mawakala wa...
  11. The Sunk Cost Fallacy 2

    LGE2024 Songea: Mke (CCM) amkaanga Mumewe (CHADEMA) Kwamba Hawezi Uongozi Asichaguliwe

    Haya ndio Yale Yale ya Mr.Tumbili na Mke wake. My Take: Mambo ya ndege wasiofanana hawawezi kuruka pamoja. https://x.com/swahilidigital_/status/1862009393295810976?t=gJsJpp2KrYc1oxlsYO2xBg&s=19
  12. Nyendo

    LGE2024 Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024

    Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni. Pia...
  13. Waufukweni

    LGE2024 Kigoma: Mgombea Uenyekiti kupitia ACT Wazalndo ajitangaza mshindi kabla ya Uchaguzi akihitimisha kampeni

    Waguu Mgombea wa Uenyekiti kupitia Chama cha ACT Wazalendo huko Kigoma amejitangaza kuwa ni mshindi kabla ya Uchaguzi wakati wa kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  14. Waufukweni

    LGE2024 Mgombea wa ACT Wazalendo: Hatutakubali unyanyasaji na ufisadi Mtambani

    Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Mtambani kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Mohammed Mtutuma, ametoa ahadi ya kupambana na unyanyasaji na kuhakikisha heshima ya wananchi inalindwa, ikiwa ni sehemu ya kampeni zake kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024...
  15. Inside10

    LGE2024 Mgombea CHADEMA adaiwa kutekwa. Polisi kuingia mzigoni kuanza kufuatilia

    Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara. Akizungumza na...
  16. Suley2019

    LGE2024 Mwanza: Mgombea ADC alalamika vipeperushi vyake kubanduliwa na kubandikwa vya CCM

    Mgombea Uenyekiti wa Mtaa wa Nela Kata ya Isamilo jijini Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), James Dioniz, amelalamikia kitendo cha vipeperushi vyake kubanduliwa, kisha kubandikwa vya mgombea Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abubakar Seif. Akizungumza na Mwananchi...
  17. Waufukweni

    LGE2024 Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea

    Wakuu, Mambo bao moto, Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA, Maulid Abdallah aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
  18. Kinoamiguu

    LGE2024 Mgombea wa CCM Uchaguzi Serikali ya Mtaa Kunduchi apita akipiga mdundiko bila kutoa ahadi yoyote kwa wapiga kura wake

    Wandugu kwema? Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana mitaani akiwa ameambatana na wapiga MDUNDIKO. Mgombea huyo hakuwa anaongea lolote kwa wananchi kwa...
  19. Mindyou

    LGE2024 Mbeya: Mgombea wa CHADEMA aahidi kutatua changamoto ya barabara eneo la Mashujaa. Atupa dongo hili kwa viongozi wa sasa!

    Wanabodi, Hivi CCM wanaposema wameleta maendeleo huwa wanaamanisha nini? Huyu mgombea wa CHADEMA kaonesha kabisa kuwa kuna ubovu mkubwawa barabara huko eneo la Mashujaa mjini Mbeya. Hawa CCM wanaposema wanaleta maendeleo ni maendeleo gani huwa wanasema wameleta...
  20. Chakaza

    LGE2024 Ni Kichekesho Kutumia Sifa za Utendaji wa Rais Kumnadi Mgombea Uenyekiti wa Mtaa

    Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo. Utendaji wa...
Back
Top Bottom