Mgombea Urais wa ACT Wazalendo ahitimisha Kampeni Pemba Kwa hamasa na shangwe Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, Oktoba 20, 2025 ameanza wiki ya mwisho ya kuhitimisha rasmi kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba.
Mamia ya wanachama, wapenzi na viongozi wa...
Kamati ya Uongozi ya chama cha ACT Wazalendo imesema itakata rufaa kupiga uamuzi wa Mahakama kuu Masijala ya Dodoma, kuitupilia mbali kesi ya mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina aliyepinga kuondolewa kwenye kinyang’anyiro hicho
Mahakama hiyo ilisema haina mamlaka ya kuingilia maamuzi ya...