GE2025 Zitto: Tutakata rufaa kupigania haki yetu ya kuwa na Mgombea Urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kamati ya Uongozi ya chama cha ACT Wazalendo imesema itakata rufaa kupiga uamuzi wa Mahakama kuu Masijala ya Dodoma, kuitupilia mbali kesi ya mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina aliyepinga kuondolewa kwenye kinyang’anyiro hicho

Mahakama hiyo ilisema haina mamlaka ya kuingilia maamuzi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) iliyomwondoa Mpina kugombea nafasi hiyo

Akizungumza Oktoba 16, 2025 wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika Kata ya Kigoma Mjini, Mjumbe wa Kamati hiyo, Zitto Kabwe amesema kamati hiyo iliyoketi kwa dharura, imeamua kupigania haki ya Chama hicho kuwa na Mgombea wa Urais

Zitto ameeleza watafanya Kampeni za kumnadi mgombea Urais wa Chama hicho, hata akirejeshwa kwenye kinyang’anyiro siku moja kabla ya Uchaguzi Mkuu

Mazingaombwe siasani..Kataa siasa,Kwasasa ni utapeli wa kifikra na watapeliwa ni wananchi.
 
Kamati ya Uongozi ya chama cha ACT Wazalendo imesema itakata rufaa kupiga uamuzi wa Mahakama kuu Masijala ya Dodoma, kuitupilia mbali kesi ya mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina aliyepinga kuondolewa kwenye kinyang’anyiro hicho

Mahakama hiyo ilisema haina mamlaka ya kuingilia maamuzi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) iliyomwondoa Mpina kugombea nafasi hiyo

Akizungumza Oktoba 16, 2025 wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika Kata ya Kigoma Mjini, Mjumbe wa Kamati hiyo, Zitto Kabwe amesema kamati hiyo iliyoketi kwa dharura, imeamua kupigania haki ya Chama hicho kuwa na Mgombea wa Urais

Zitto ameeleza watafanya Kampeni za kumnadi mgombea Urais wa Chama hicho, hata akirejeshwa kwenye kinyang’anyiro siku moja kabla ya Uchaguzi Mkuu

Ni Ujinga kusema utaingia kwenye uchaguzi hata kama imebaki siku moja.

Hivi kwa akil yake kweli anataka kusema MPINA bado tuko kwenye ballot papers zilizochapishwa na yule MZIMBABWE wa Maza ...!!?
 
Zito unachekesha mjuba, siku moja tu huyo mgombea urais atafanyaje kampeni kutangaza sera zake?
At this point, mgombea wao kushinda uchaguzi sio muhimu sana. Wanachotaka ni kuweka record sawa—kwamba uamuzi wa INEC unahojika mahakamani.

Pia, ushindi katika hiyo case utakuwa moja ya vielelezo vizuri vya jinsi CCM inavyotumia kila hila kujihakikishia ushindi kwenye chaguzi.
 
Ndio maana watu tulishasema kitambo sana....

Kamati ya Uongozi ya chama cha ACT Wazalendo imesema itakata rufaa kupiga uamuzi wa Mahakama kuu Masijala ya Dodoma, kuitupilia mbali kesi ya mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina aliyepinga kuondolewa kwenye kinyang’anyiro hicho

Mahakama hiyo ilisema haina mamlaka ya kuingilia maamuzi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) iliyomwondoa Mpina kugombea nafasi hiyo

Akizungumza Oktoba 16, 2025 wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika Kata ya Kigoma Mjini, Mjumbe wa Kamati hiyo, Zitto Kabwe amesema kamati hiyo iliyoketi kwa dharura, imeamua kupigania haki ya Chama hicho kuwa na Mgombea wa Urais

Zitto ameeleza watafanya Kampeni za kumnadi mgombea Urais wa Chama hicho, hata akirejeshwa kwenye kinyang’anyiro siku moja kabla ya Uchaguzi Mkuu

Akirejeshwa siku moja baada ya uchaguzi je?
 
I thought Zitto is a pragmatic practicing pragmatism,

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=UvLNbIclnQMiNBrv

Kama tume ya uchaguzi haipaswi kuingiliwa, then hata Mahakama ya Rufaa haita ingilia, na amini usiamini, siku ya tarehe 28 October, Zitto ataelekeza kura za Urais kwa Act Wazalendo ziende kwa Samia!.

Hili Zitto aliisha lisema kwenye kampeni zake Kigoma kwa kusambaza vipeperushi akijinadi Ubunge huku urais akimnadi Samia,

Baba Levo alipomuomba Rais Samia kuingilia kati Rais Samia alimgomea kwa kutoa kauli ya statemeship ya hali ya juu.
ushahidi ni huu
Thread 'Rais Samia alivyokwepa kumrushia vijembe Zitto Kabwe kufuatia maneno ya Baba Levo' GE2025 - Rais Samia alivyokwepa kumrushia vijembe Zitto Kabwe kufuatia maneno ya Baba Levo
P
 
Back
Top Bottom