Chama tawala nchini Benin imemteua Waziri wa Uchumi Romuald Wadagni kuwa mgombea wao wa urais katika uchaguzi wa Aprili 2026. Uamuzi huu ulipitishwa katika kikao kilichofanyika usiku nyumbani kwa Rais Patrice Talon, ambaye amesisitiza hatogombea muhula wa tatu kwa kuzingatia katiba ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.