Chama cha Democratic Party (DP) kimemsimamisha uachamaa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Peter Agaton Magwira pamoja na wanachama wengine saba kwa tuhuma za kumuunga mkono mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Alhaji Dk. Husein Ally Mwinyi.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa chama...