Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya chama na nje.
Mkakati uwe ni kufanya mambo ya ustawi zaidi za jamii. Watanzania ni werevu sana na...
Uadui na uhasama unaoendelea ndani ya CHADEMA hasa miongoni mwa viongozi waandamizi wa chama hicho, ni hatari kwa afya na uhai wa wanaopigana vita ya maneno na chama chenyewe kwa ujumla.
Ukiwafuatilia vizuri, utangundua ni kama wanaviziana na kutegeana tu kwamba who is to break the line first...
Siasa za hoja ufanywa na wana mikakati ambao wanaweza wasiwe wanasiasa ila wanafahamu vyema siasa.
Siasa za hoja zinahitaji sana kampeni meneja ambaye ni neutral na mwenye malengo ya Taifa kuliko mwenye maono ya chama.
Kampeni meneja mwenye maono na asiyefungamana na upande wowote anaweza...
VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo yaliyoamriwa na Wananchi
Pia, Gonzàlez amedai alifuatwa na Watu wa Maduro na kulazimishwa kusaini matokeo...
afrika
afrika mashariki
chama
katika
mashariki
mechi
mgombeamgombeaurais
mkuu
mpaka
mubashara
mungu
taifa
taifa stars
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ujao
urais
wake
Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024.
Aidha Vikosi vya usalama vya Venezuela vimezingira Ubalozi wa Argentina, wakidai kuwa viongozi sita wa upinzani...
Serikali ilitoa fursa ya Vyama vya siasa kutoa maoni ya Mabadiliko ya sheria za Tume ya Uchaguzi,kama sikosei Chadema walisusa wakidai wanataka Katiba Mpya ilhali wanajua mda hautoshi.
My Take
Binafsi naunga mkono wazo hili ila Sasa shida ya kususa ya nyie Machadema ndio zinawatokea Puani.
In...
Habari wanajamvi,
Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya chama kuamua kwamba ni fomu moja tu ndo itachapishwa?
Unadhani falsafa hii inamaanisha nini?
Mathalani,
inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa heshima ya utumishi wake uliyotukuka kwa chama kwa muda mrefu.
lengo lao ni kuepusha gharama kubwa...
Utasikia kuwa Rais ajaye hawezi kutoka dini fulani kwa sababu Rais aliye madarakani tayari ni wa dini hiyo.
Rais hawezi kutoka kanda fulani kwa sababu hiyo kanda ilishatoa Rais.
Rais hawezi kuwa kabila fulani kwa sababu kuna sababu nyingi za kutokubaliana na mtazamo huo.
Masuala ya...
Heshima kwenu wanajamvi.
Mgombea uRais wa CCM ni Samia Suluhu Hassan.
CHADEMA mgombea wenu nafasi ya uRais ni nani?
Kila nikichanga karata zangu mgombea anayefaa kubeba heshima ya kukiwakilisha chama ni Tundu Lissu.
CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani kimeshiriki chaguzi nyingi tangu enzi za...
Salaam, Shalom!
KATIBA yetu ya nchi IPO wazi kabisa kuwa, HAKI ya kuchagua inaenda sambamba na HAKI ya kuchaguliwa.
Yaani HAKI ya mgombea nafasi yeyote katika ngazi yeyote kisiasa, haipasi kuminywa ndani ya vyama vya siasa pekee.
Jambo hili la kuminya HAKI ya kuchaguliwa, ndio hasa kitu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12.
Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa...
Harakati za uchaguzi mkuu zinakaribia lakini naona watu imara tunaotaka wakatusaidie kwenye mhimili wa bunge tunaweza kuwapoteza kwa kutamani kugombea urais na kukosa fursa ya kutusaidia kutunga na kusimamia raslimali zetu huko bungeni.
Tundu Lissu aachane na ndoto za kugombea urais aende...
Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja.
Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa wagombea wa Urais kupitia upinzani huku kwa hali halisi unaona wazi level zao ni kupambania ubunge...
Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa!
----
Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
chawa
kijana
kuelekea
kujifunza
mgombeamgombeaurais
mkuu
nchini
rais
senegal
tanzania
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
upinzani
urais
ushindi
vijana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.