mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

    Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma! Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na...
  2. Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

    Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma! Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na...
  3. Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  4. CCM wanajua kum-brand mgombea wao

    Japo muda wa kampeni haujafika ila CCM washaanza kum-brand mgombea wao, kitaalam imekaaje?
  5. Pre GE2025 Sera zangu za 2025 kama Mgombea BinafsI

    SERA ZANGU KAMA MGOMBEA BINAFSI 2025 Nipeni kura zanu, mm nitawafanyia haya yafuatayo😝🥲😛😛Nichagueni mm tuishi kama Mamtoni 1. Gharama ya ufungaji wa umeme itashuka na kuwa 10,000 kwa kila mwanakijiji kasoro mijini, 🤣😛😝hapa napata kura zote za vijijini🤣😛😝😝 2. Gharama ya unit ya umeme itashuja...
  6. Huyu ndiye kiongozi na mgombea tunayetegemea atumie 'Neoclassical economics' na adadavue 'Complex Economic Boost Projects' Kuondoa umasikini Tanzania

    Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed...
  7. Pre GE2025 Aliyekosoa uteuzi wa Samia kuwa mgombea Urais ahofia maisha yake

    Siku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai kuanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu maisha yake na kuwa yupo katika hatari baada ya kusema ukweli...
  8. F

    SADC yaiandikia barua Jumuiya ya ECOWAS kumuunga mkono Mgombea wa Madagascar na sio wa Kenya (Raila).

    Naona Raila hana bahati. SADC yamruka na kumuunga mkono mgombea kutoka Madagascar na imeiomba jumuiya Africa Magharibi kufanya hivyo pia.
  9. Pre GE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
  10. K

    Pre GE2025 Ushauri kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

    Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali. Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za...
  11. Kumbe Mchungaji aliyefukuzwa uanachama wa CCM Kilimanjaro, alikuwa mgombea urais wa chama cha CCK

    Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na majitu ya hovyo hovyo tu, nilidhani ni mwana CCM makini.
  12. Pre GE2025 Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama hicho. Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga...
  13. Hivi 'No Reform no Election' inapigania na mgombea binafsi?

    Kwa kweli binafsi nimechoka na wagombea wa vyama. Hii 'No Reforms no Election ya CHADEMA inapigania na mgombea binafsi?
  14. Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
  15. Dkt. Hussein Mwinyi ndiye atakayekuwa mgombea mwenza wa CCM wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo 2030

    Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo, Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Ni muhimu sana kwa wale wote ndani ya CCM, wenye nia ya kugombea nafasi hizo muhimu za...
  16. Pre GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  17. R

    Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

    Hellow Tanganyika, USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika. Tujiulize yafuatayo; 1...
  18. watu walio weka huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kujiundia tume huru wanapaswa kuchunguzwa na hata kushtakiwa

    Huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru sio demokrasia napinga kwa nguvu zote inawezakana ni mbinu ya watu wasio watakia mema watanzania maskini ili kujinyakulia madaraka kinyume cha sheria kwa kujiteuwa wao wenyewe kwasababu mgombea huyu kuunda tume huru hakuwezi kuwa na...
  19. Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
  20. kwa hii tume anayounda mgombea wa chama tawala tutegemee kitendo cha kujiteuwa na sio uchaguzi wa haki

    Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ? Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…