mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

    Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe. Azimio la kumuidhinisha Dr...
  2. Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

    Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+, Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa sas...,kutakuwa na wanasiasa wapya kabisa wenye confidence na ushawishi kulIko yeye,dalili zimeanza...
  3. Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  4. Pre GE2025 Haikuwa sahihi Samia Suluhu alivyotangazwa mapema kuwa mgombea urais 2025 kupitia CCM

    Siwezi kutoa maoni, kwa sababu hili ni jambo tu ambalo wananchi watalijadili kuanzia kesho asubuhi. Kwa hiyo hainihusu mimi kutoa maoni. Flyover zimejengwa,barabara zimejengwa,shule zimejengwa. Sawa,lakini lakini sasa lazima human rights record ya huyu Rais na serikali yake hii. Na unapoelekea...
  5. Prof Ndalichako alifaa kuwa Mgombea mwenza Oktoba 2025

    Kiukweli Mkoa wa Kigoma Una hazina ya wasomi mahiri. Ilifaa Prof Joyce achukue kijiti kwa PhD holder mwenzake
  6. F

    Elections 2015 Je ni kweli mgombea Urais CCM 2015 alikuwa Amina Ally ila kwa kutamka Lowassa atakuwa Makamu wake akagauza upepo?

    Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili. Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza. Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
  7. Odelo mgombea Uenyekiti CHADEMA ni mtu Nondo kweli kweli

    Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana Nimempima Kwa mambo yafuatayo 1 Kutofautisha Maandamano na matembezi Kwamba CHADEMA walihimiza matembezi siyo maandano. Maandano yanapaswa yainyime serikali amani na itoe...
  8. M

    UCHAGUZI CHADEMA: Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe

    === Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe. Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma yoyote hivyo ni watu safi wachaguliwe.
  9. CCM sio mtu mmoja ni zaidi hivyo inapaswa kuwa huru kusimamisha mgombea ambaye chama kizima kitamkubali sio eti muweke mtu kwasababu ni Rais

    Kuelekea uchaguzi mkuu nitoe wito kwa CCM kusimamisha mgombea ambaye watanzania wa chama hicho wata mchagua kuwakilisha chama mwenye hoja, mwenye uwezo na maono bora sio mnapitisha mtu kwa kuangalia heti ni raisi au sijui nani, hii itakuwa ni pengo kwenye taifa kwa ujumla kwani mtu huyo...
  10. Pre GE2025 Mgombea Uenyekiti BAZECHA aahidi kuwapeleka wajumbe Makka

    Wakuu Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa baraza hilo kuhiji Makka. Uchaguzi huo unaendelea usiku huu Jumanne Januari 14, 2025 katika ukumbi wa...
  11. B

    Dr Slaa: 2015 Nilipelekwa Italia for Presidential Training kwa Mkufunzi wa Angela Mark wa Ujerumani, niliandaliwa Mgombea Urais

    Shallom. Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni. Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV. Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua...
  12. Mgombea wa Baraza la vijana anayemuunga mkono lissu ajitoa kwenye kinyanganyiro uamuZi huo ameufanya ktk mdahalo uliokuwa unaendeshwa na Odemba

    Ktk Hali ya kushangaZa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha ndugu shija amejitoa na kumuunga mkono mgombea mwenZake ndugu manyila ambaye pia anamuunga mkono lissu
  13. J

    Hivi Yeriko Nyerere kwenye Mijadala ya Kwenye Media anamwakilisha Mbowe kama mgombea au anawakilisha Chadema kama chama?

    Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya...
  14. Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  15. R

    Pre GE2025 Baada ya Hotuba ya Lissu, Mbowe, Dr Azavel naye azungumzia nguvu ya pesa, vigezo vya mgombea

    Msikilize kwa makini if interestd anyway! Nawakaribisha machawa wote wa FAM na TAL, kuna cha kujifunza kikubwa kuhusu wajumbe kuwa informed who to vote for! Maridhiano basi, sasa utatumia mbinu gani? vita? Utakinukisha kwa vipi? vita? msikilize https://www.youtube.com/watch?v=4bFvRvum5Ow
  16. Ningekuwa Mimi ndio mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama, ningeanza na hili...

    Salaam wana Jamvi.kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kunipa nafasi ya kukutana na nyie hapa Leo .nirudi kwenye mada yangu Mimi ningekua ndie mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama ningeanza nayafuatayo. 1.badala ya kuituhumu ,Mimi ningeipongeza kamati kuu kwa kusimamisha kidete ,na...
  17. Kiwango cha juu cha Elimu ya Menyekiti anayemaliza muda wake CHADEMA

    Mwenye kujua kiwango cha juu cha Elimu ya Mwenyekiti anayaliza muda wake CHADEMA
  18. Huyu mgombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa kila kiongozi mwenzake mwandamizi, pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa anawona kama madui au wabaya wake

    Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda. Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi...
  19. M

    Garatwa: Nondo (6) za Tundu Lissu Mgombea Uenyekiti CHADEMA Taifa 2024-2029

    NONDO (6) SITA ZA LISSU AKIWA LIVE CLUBHOUSE LEO USIKU 1. SUALA LA MGAO WA RUZUKU "Suala la mgao wa Ruzuku ya chama kwenda kwenye ngazi za Wilaya na Mikoa hata kama ni kupeleka kidogo cha kadri lilishakuwa changamoto kubwa sana ndani ya chama chetu licha ya kelele nyingi tunazopiga"...
  20. Tetesi: Huenda mgombea uongozi anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa uchaguzi wa chadema taifa kuwekewa vikwazo vya kimataifa

    Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo. Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…