Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini.
Nimegundua CCM inahofu kubwa...
Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
Tundu Lissu ndiye katuonyesha ujinga wa CHADEMA na ujinga wa wanachama wake.
Wanachadema ni manamba wa mtu, tuseme CHADEMA iliundwa kwa ajili ya Mbowe tu au watu wa kaskazini. Lakini najiuliza swali, kwa nini demokrasia CHADEMA ni ngumu sana kuipata?
Badala ya kumpima kwa hoja, wao wanamuona...
Za chini kwa chini yasemekana kwamba,
Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri.
Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo...
Wananchi wa kitongoji cha NKENE,kijiji cha MAGULYATI,kata ya LOYA wilaya ya UYUI mkoani TABORA wamesema sababu za kumpigia kura za Hapana aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa kitongoji chao NYOROBI NANGI ni kutokuwa na ushirikiano na wananchi pamoja na tabia za ulevi na matusi...
Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha
kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa.
Siku chache kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa gari za polisi zilionekana zikizunguka mara kadhaa katika mitaa anayoishi.
Hata...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
afariki
askari
askari magereza
chadema
gani
hatua
jeshi la polisi
kifo
mgombeamgombea wa chadema
risasi
taarifa ya polisi
uenyekiti
uenyekiti wa chadema
Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina
Bali...
Wakuu,
Katika kipindi hiki ambacho matokeo yanaendelea kutangazwa, mengine mapya yanaibuka.
Aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) mshindi wa Uchaguzi katika mtaa wa Kijenge Kusini, kata ya Kimandolu, jijini Arusha, Shaaban Suleiman Mzava, ameeleza malalamiko yake juu ya mawakala wa...
Haya ndio Yale Yale ya Mr.Tumbili na Mke wake.
My Take: Mambo ya ndege wasiofanana hawawezi kuruka pamoja.
https://x.com/swahilidigital_/status/1862009393295810976?t=gJsJpp2KrYc1oxlsYO2xBg&s=19
Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.
Pia...
Waguu
Mgombea wa Uenyekiti kupitia Chama cha ACT Wazalendo huko Kigoma amejitangaza kuwa ni mshindi kabla ya Uchaguzi wakati wa kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Mtambani kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Mohammed Mtutuma, ametoa ahadi ya kupambana na unyanyasaji na kuhakikisha heshima ya wananchi inalindwa, ikiwa ni sehemu ya kampeni zake kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024...
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara.
Akizungumza na...
Mgombea Uenyekiti wa Mtaa wa Nela Kata ya Isamilo jijini Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), James Dioniz, amelalamikia kitendo cha vipeperushi vyake kubanduliwa, kisha kubandikwa vya mgombea Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abubakar Seif.
Akizungumza na Mwananchi...
Wakuu,
Mambo bao moto, Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA, Maulid Abdallah aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
Wandugu kwema?
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana mitaani akiwa ameambatana na wapiga MDUNDIKO.
Mgombea huyo hakuwa anaongea lolote kwa wananchi kwa...
Wanabodi,
Hivi CCM wanaposema wameleta maendeleo huwa wanaamanisha nini? Huyu mgombea wa CHADEMA kaonesha kabisa kuwa kuna ubovu mkubwawa barabara huko eneo la Mashujaa mjini Mbeya.
Hawa CCM wanaposema wanaleta maendeleo ni maendeleo gani huwa wanasema wameleta...
Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa
kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo.
Utendaji wa...