Ni mgombea muongo yule ambaye ana maneno mengi lakini yasiyo halisi mfano Kuna wimbo aliwahi kuimba Pro, Jay unaitwa ndio mzee, mgombea aliahidi wanafunzi kuwapeleka mwezi kwenda kufanya practical, ahadi kama hizo ni ahadi zinazovutia kuzisikia lakini ni ahadi za uongo zisiweza kutekelezwa...