Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge
Walimu nao wamegoma
Na mgomo haukutangazwa hadharani
Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni wanayopewa na Serikali
1. Watoto wa shule wana muda mrefu wa kucheza tu
Yaani walimu ikifika saa 4...
Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
Wafanyakazi wa SGR - Lot 1 wameamua kufanya mgomo wakishinikiza malipo yao ya NSSF kuingizwa kwenye akaunti
Pia soma
~Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF
~ Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa...
Wakati mgomo wa wafanyabiashara katika soko kuu Mafinga mkoani Iringa ukiinga siku ya nne nne leo, wafanyabiashara wa matunda, nafaka pamoja na samaki wamelalamikia wakisema mgomo huo unawaathiri kibiashara.
Mgomo huo umesababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara wasio na maduka, wakisema...
Leo nimepita makumbusho stendi ya daladala hakuna magari yanayotoka. Magari yote yanapaki na hayapakii
Abiria wameduwaa hawajui wafanye nini. Mwenye taarifa sahihi atujuze
Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye
Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
Yani nimetoka nyumbani kufufuata mahitaji yangu soko la Mbagala hakuna biashara zaidi ya wamachinga.
Mbagala biashara zote nafaka, elektroniki madukaa mengine yote yamefunga.
Madhara kwa wote
Wafanyakazi, bodaboda, bajaji, guta(toyo) wasukuma mikokoteni, na watu mbalimbali hawana cha...
Nilifikiri utaishia Dar Es Salaam na Mwanza. Lakini imekuwa tofauti na nilivyofikiri.
Nikiwa natokea mkoa fulani, leo saa nne Asubuhi, nimepitia Kariakoo Katoro mkoani Geita kwa lengo la kununua vifaa fulani. Sijafanikiwa. Maduka yote yamefungwa. Hiyo ni wazi kuwa nao wamegoma.
Hali haipaswi...
Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana
https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA
Mbagala Rangitatu wenye maduka hawajafungua siku ya leo 26/06/24, huu ni mfululizo wa vuguvugu la wafanyabiashara kugoma wakipinga baadhi ya tozo zinazofanywa na serikali kupitia mkusanyaji TRA.
Naweza kusema kwamba, tunahatua kubwa sana kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya! Kodi na ama ongezeko lolote la kikodi litokanazo na bidhaa, humlenga moja kwa moja mlaji na siyo mfanya biashara!
Kwa upande mwingine, maandamano ya majirani zetu, ni sahihi na siyo haya ya wafanyabiashara wa...
Mgomo wa wafanyabiashara ulioanzia ,Kariakoo Dar ,leo wafanyabiashara wa Katoro Geita wameunga mkono ambapo maduka yote hasa ya soko la Kariakoo la jumla Katoro Geita yamefungwa yote ,hakuna huduma yoyote ,ni muda wa viongozi Sasa kujitathmini ,maana japo watanzania tunasifika kwa woga Ila...
Habari wakuu!
Huenda ulikuwa mgomo wa siku tatu.
Huenda siasa imeingilia suala hili
Huenda pumzi imekata.
Wachambuzi wa masuala ya migomo na maandamano wanaeleza kuwa mgomo huu wa wakariakoo mwisho unaweza kuwa Leo.
Kesho biashara zitafunguliwa.
Ñgoja tuone
Nawaza endapo wafanyakazi na wananchi kwa ujumla watajoini mgomo wa wafanyabishara unaoendelea hivi sasa nchini hali itakuwaje!!?
Madai ya wafanyakazi;
Madai ya wananchi;
Nadhani kutachimbika nchi hii
Bado nawaza siku hawa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje?
Madai ya Maafisa;
1. Kamata kamata ya trafiki,
2. Bei ya mafuta kupanda,
3. Mikataba na wamiliki,
Ndugu Zangu Wafanyabiashara. Nafahamu Maumivu Yenu. Hakuna Anayefungua Biashara Ili Afunge. Hakuna Anayepambana Ili Afeli. Hakuna Anayejitahidi Kupiga Hatua Ili Arudi Nyuma. Hata Sasa Naamini Mmejitoa Sadaka Kuonesha Hisia Zenu Za Maumivu Na Siyo Kwamba Mmetosheka Na Utafutaji. Maumivu Yenu...
Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine.
Migomo yote ni wafanyabiashara kukataa maelekezo halali ya serikali ikiwa pamoja na kutotaka mfumo wa wazi unaobana wizi na...
Wanajukwaa habari,
Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya
Tukiangazia dar
Leo siku ya pili
Huku mwanza nao wakianza leo
Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao
Vipi hari ya mtaani kwako?
Kuna Mgomo wa Wafanya Biashara unaendelea Mwanza sasa hivi, Mliopo Mwanza toeni update nini kinaendelea.
Video nimeweka hapa Chini.
************************************************************************************************************
Update Kutoka Mwananchi Digital
Siku moja baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.