Wakuu Kwema!
Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu.
Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu.
Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana.
Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
Leo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni hadi Karume Ilala kupitia Kilwa Road.
Sababu ni Kupinga kuhamishwa kwa Kituo kikuu cha Mabasi hayo...
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali.
Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo, jana amekutana na kufanya mazungumzo na Madereva takribani 500 wa Kiwanda cha Dangote Mkoani Mtwara, waliokuwa wamegoma kwa siku 12, baada ya majadiliano Uongozi wa Kiwanda hicho umekubali kuwalipa stahiki zao ikiwemo mishahara na kuahidi...
Wamiliki wa mabasi wasitisha mgomo ulioitishwa baada ya makubaliano na LATRA pamoja na TRA kuwa mazuri.
Abiria wa Mwanza na Mbeya walichelewa baada ya wamiliki wa mabasi kuitikia wito wa mgomo ulioitishwa kuanzia leo.
Chanzo: ITV
Pia soma: Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA
Anwaniya Simu:”UCHUNGUZI” Mtaa wa Jamhuri,
Simu Nambari: 262323315 S. L. P 1291,
Nukushi: 26232332 41101 DODOMA,
BaruaPepe: dgeneral@pcc.go.tz TANZANIA.
Tovuti: www.pccb.go.tz
Unapojibu tafadhalitaja:
TAARIFA KWA UMMA...
Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi.
====
Dar es Salaam. Wamiliki wa...
Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Rais Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume.
Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi...
Msemaji wa Hospitali ya KCMC Kilimanjaro, Gabriel Chiseo amekanusha taarifa zinazozunguka mtandaoni zenye madai ya kwamba madakatari katika hospitali hiyo wamegoma kufanya kazi kwa madai ya kukosa vifaa kinga (PPE) kutokana na ongezeko wa wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji.
Msemaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.