Sabato NJEMA Wakuu!
Ufanisi ni mdogo, faida ni hafifu. Mtaji ni Duni, Muda unaopotezwa ni mwingi Hali inayozorotesha uchumi wa wafanyabiashara na serikali Kwa ujumla. Hicho ndicho kinafanya kuwe na haja ya kuleta Wawekezaji katika Bandari yetu.
Uwezo wetu ni mdogo, uwezo wa kinidhamu na...
Ili kuzuia hali kama hiyo isijirudie tena katika Soko la Kariakoo, hatua kadhaa zinaweza kuchukuliwa. Hapa kuna baadhi ya mawazo ambayo yanaweza kusaidia:
Mazungumzo na taasisi husika: Wafanyabiashara na wawakilishi wao wanaweza kushiriki mazungumzo na taasisi ya TRA (Mamlaka ya Mapato...
Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa.
Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo.
Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM
Kwa ufupi
Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo
Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo yazima mgogoro
Kamati ya watu 14 kutoka Serikalini, wafanyabiashara yapewa jukumu la kumaliza mzizi...
Chama cha Madaktari Wazawa wa Nigeria (Nard) kimesema uamuzi huo unahusisha Madaktari wa Hospitali za Serikali unatokana na Serikali kushindwa kutimiza mahitaji ikiwemo maboresho ya mishahara na malipo mengine.
Serikali imedai mgomo huo sio halali na watakaoshiriki hawatalipwa na kudai kuna...
Wakuu Salam,
Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani.
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya...
Baada ya kutangaza kugoma kufungua maduka yao wiki iliyopita, hatimaye Kariakoo ikasimama.
Mkuu wa Mkoa akaenda, akashindwa wafanyabiashara wakamtaka Rais, Ripoti ikatoka kutoka Dodoma kuwa Mkutano utafanyika Dodoma siku ya Alhamis, chini ya Waziri Mkuu, wafanyabiashara wakagoma.
Likatoka...
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023.
WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
anafanya
ashatu kijaji
biashara
dkt. ashatu kijaji
hafai
kariakoo
kikao
kubaki
mgomo
mkoa
mkuu
mkuu wa mkoa
nafasi
naibu waziri
ngoma
ngumu
ofisini
tra
uwekezaji
viwanda
wafanyabiashara
waziri
wizara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kufanya Mkutano wa Wazi na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, hivi punde katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
Wafanyabiashara hao ambao awali walipaswa kutoa wawakilishi wao kwenye kikao na Waziri Mkuu walikataa pendekezo hilo huku wakishinikiza uwepo...
Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma.
Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike.
Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu...
Hii aibu ya huu mgomo ni kubwa sana na inafikirisha sana, je, hayo madeni ya Kodi ni bambikizi, ni penalty, na fitina ni nini hasa?
DG wa TRA yupo, Waziri wa Fedha yupo, Waziri wa Biashara yupo, kwanini haya madeni? Yapi halali na yapi haramu? Je, hii italeta mazoea ya kukwepa Kodi au mazoea ya...
Nianze Moja Kwa Moja.
1. Sekta ya biashara ndiyo Kila kitu. Ieleweke kwamba watumishi wa umma wasipojifunza kwaambafanyabiashara ndiyo mfalme wa kada zote basi hawatarthubutu kugoma maana hawana nguvu.
Serikali zote duniani biashara trade is another level. Zinaheshimu wafanyabiashara kupita...
Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)
Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka)...
Salaam Ndugu zanu,
Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea.
Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi.
Siku dola ikipewa jukumu la kuimarisha usalama biashara zifanyike usiku na mchana nchi itapiga hatua. Lakini...
Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo.
Sababu za kuitisha mgomo;
1. Urasimu bandarini
2. Usajili wa stoo
3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuguzi wa risiti
Wao wapo tayari kufanya biashara kwa uhuru na kulipa kodi bila mambo ya rushwa rushwa na maonezi.
Rai kwa...
Ni vigumu wito wa kiongozi wa chama kutenganishwa na chama:
Ingekuwa vyema tukapeana uthibitisho ili japo kujua tunaposimama.
"Ikumbukwe kodi za kufikia nusu ya kwanza ya mwaka huu zilikwisha lipwa kufikia 31/3/2023."
Hivyo:
1. Wito huu unategemewa kutekelezwa vipi?
2. Kwanini vyama hivi...
Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha .
Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa Lockup na manyanyaso walimu wanayoyapata kutoka kwa afisaelimu (Ngonyani) hadi hapo atakapohamishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.