Maduka yote ya Stendi Kuu ya Moshi mkoani Kilimanjaro yamefungwa leo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara hao ambao wanadai Kodi inayotozwa stendi hapo ni kubwa isiyo rafiki.
EATV imeshuhudia uongozi wa Manispaa ya Moshi ukipachika kipeperushi kwenye kila duka kilichoandikwa, "PAMEFUNGWA NA...
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ipo, mlipaswa kuja hapa kwa kuwa ndio tunaolisimamia na siyo huko mlikokwenda," amesema Chalamila.
Wafanyabiashara hao zaidi ya 800 jana Alhamisi Julai 11, 2024, waliandamana kutoka Uwanja wa Mnazi Mmoja kwenda ofisi za CCM Lumumba, kupinga kuondolewa kwa wafanyabiashara...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewatuliza wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo, walioandamana hadi ofisi ndogo za CCM Lumumba.
Amewaahidi kesho Julai 12, 2024 watakutana na Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kujadili...
VAT ni kifupi cha Value Added Tax. Ni kodi inayotozwa kwenye bidhaa, huduma, na mali isiyohamishika ya shughuli yoyote ya kiuchumi wakati thamani inapoongezwa katika kila hatua ya uzalishaji na hatua ya mwisho ya mauzo. Viwango ni 18% kwa usambazaji wa kiwango cha kawaida, na 0% kwa mauzo ya...
Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha.
1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike
Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
Taasisi nyeti kama hii haziwezi kuongozwa na wahalifu. Vijana wanatumia Sheria mbovu za Kodi kujitajirisha na kuleta adha kubwa kwa uchumi wa nchi na wafanya biashara.
Kulingana na maoni ya watu wengi maafisa wa TRA wamekuwa wakikadiria Kodi kubwa wafanyabiashara nje ya utaratibu ili...
Ninaendelea kumsikiza!
"Yaani sisi Tanzania tunapinga kodi kwa kufunga maduka, wakati wenzetu Kenya wameandamana. Ukifunga duka unamkomoa nani? Usifikiri kwamba unaikomoa serikali, sababu wataendelea kukusanya makato ya mikipo mliyochukua.
"Serikali haikomoleki, andamaneni mdai haki zenu...
https://m.youtube.com/watch?v=xEU5GWcrF_A
Msikilize huyu bwana ambae amejaribu kukuza mambo not knowing kwa mujibu wa sheria anayosema ni matatizo. Kutotunza nyaraka na kuwapa TRA deni, ambalo wakitaka kulihakiki sehemu nyingine duniani umejitafutia matatizo makubwa sana...
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na...
Nitoe wito Kwa Viongozi wa Serikali wasihamgaike na hao wafanyabiashara wanaotumika Kisiasa.
Wacheni wafunge biashara Kwa sababu njaa itawarudisha sokoni bila hata Nguvu.
Huwezi ukajua na madai ya kipuuzi na yasiyo na msingi.Madai Yao ni Kodi ambazo zimekuwepo Toka enzi ya Mkapa alipoleta VAT...
1. Malumbano kati ya Waziri wa fedha na Kamishina wa Mapato TRA
Msimamo wa Kamishina kuhusu kero za wafanyabiashara ni kutekeleza sheria wala siyo maagizo ya wanasiasa wa ngazi yoyote.
Kamishina TRA amewaambia Wafanyabiashara mara kadhaa mkitaka tuache kufanya kazi ambazo nyie...
Manzese
Picha ikionyesha baadhi ya maduka eneo la Manzese Tiptop, jijini Dar es Salaam leo asubuhi Jumatano Juni 26, 2024 yakiwa yamefungwa kutokana na mgomo wa wafanyabiashara unaoendelea katika baadhi ya mikoa nchini.
Madai ya wafanyabiashara ni pamoja na utitiri wa kodi unaotozwa na Mamlaka...
Imeandikwa na Boniface Jacob
1. Kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao zaidi ya 10 na mamlaka ya mapato TRA, hawakupata majibu.
2. Kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao na serikali kupitia Mkuu wa wilaya ya Ilala wakiomba Waziri wa fedha afike kuwa sikiliza lakini Waziri wa fedha...
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?
Kuwadekeza hawa kutaibua...
Ikumbukwe kuwa nchi huendeshwa kwa kodi. Bila kulipa kodi hakuna maendeleo na huduma za jamii. Pia, ili biashara iweze kukua sharti ilipe kodi kulingana na ukubwa wake. Iwapo utalipa kodi kubwa kuliko kipato chake, biashara hiyo itakufa.
Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi...
Binafsi naamini ni ngumu kwa TRA kuelewa hali halisi inayolalamikiwa bila kufungua duka la majaribio Kariakoo.
Walipe Kodi zote stahiki, na wasiuze chochote bila kutoa risiti, watoe risiti na wadai risiti kila wanaponunua. Wasijipe upendeleo wa aina yeyote na wasitoe rushwa, halafu tuone kama...
Mpo salama bila shaka.
Inapotokea migomo ya nyakati hizi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ni muhimu kuiendea kwa umakini.
Wanasiasa wanaelewa nazungumzia nini.
Watatuzi wa migomo lazima wawe na ujuzi, uwezo na hekima za kuongea mbele za Watu.
Sio unachagua mtu asiye na...
Kuna ule usemi kwamba ukiwa na mtu ndani ya nyumba yako, akaamua kutumia rungu kuua mbu bila kujali mbu yuko sehemu gani. Sasa waswahili wanasema, kuna siku mbu anaweza kutua sehemu nyeti ya mwili, na muuaji mbu kwa rungu ataleta madhara makubwa!
Sasa naufananisha utendaji wa Chalamila na kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.