Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea
=======
Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na kutoka sehemu nyingine Tanzania wakiongozwa na mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo, Majid Mbwana...
efd
finance bill
finance bill 2024
kitila mkumbo
mgomokariakoo
muswada sheria ya fedha 2024
mwigulu nchemba
risiti za efd
tra
tra tanzania
wizara ya fedha na mipango
wizara ya viwanda na biashara
Mkuu wa mkoa, Albert Chalamila amefika Kariakoo kujaribu kufungua maduka lakini katika harakati hizo ameweka vitisho vilivyopitiliza..
Chalamila: Aliyekubali kufungua afungue na yule ambae atamletea mkwara mtu yeyote yule aliyekubali kufungua naapa mbele ya Mwenyezi Mungu, hapo ndipo...
Naunga mkono asilimia 100% mgomo wa wafanyabiashara. Tena ningependa kuona ukienea nchi nzima!
Sababu ni kwamba uongozi wa Tanzania huwa unajifanya kiziwi pale Watanzania wanapoonyesha kutopendezwa na jambo fulani, na kutoa madai yao kwa njia ya vyombo vya habari au maandamano. Serikali...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika soko la Kariakoo kutokana na Biashara kufungwa kuanzia leo Juni 24, 2024 na kuongea na wafanyabiashara.
Chalamila amesema wafanyabiashara wako wa aina kadhaa ikiwemo walioshiba, kati na wachanga na iwapo wataigana kuna watakaojuta leo...
Nimeyasoma madai ya wafanyabiashara yanayouzunguka mtandaoni(ambayo yaka kama 14) na nimeona mengi hayana mashiko, hayaeleweki au ni vigumu kutekelezeka. Halafu madai ni mengi mno kiasi kwamba inakuwa vigumu kofocus kwenye mambo yapi ni muhimu. Pia kuna mambo yanawahusu wafanyabiashara wenyewe...
Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa.
Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
biashara kariakoo
chalamila
kariakoo
kodi
kufunga biashara
maduka yafungwa kariakoomgomokariakoomgomo wa wafanyabiashara
mgomo wa wafanyabiashara kariakoomgomo wafanyabiashara kariakoo
rc chalamila
serikali
wafanyabiashara
wafanyabiashara kariakoo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa tamko la kuwataka Wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Dar es salaam kujiepusha na migomo na kila mmoja kujitafakari, hii ni baada ya kusambaa kwa taarifa jana kuhusu Wafanyabiashara wa Dar es Salaam na Mikoa mingine kupanga kugoma.
Akiongea...
Kuna tetesi Kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba anashikiliwa na Polisi kwa kuhamasisha mgomo wa Wafanyabiashara unaoanzia Kariakoo.
Ikumbukwe asilimia 90 ya Wafanyabiashara wa Kariakoo ni Wakinga kutoka mkoani Njombe
Tutaendelea kufuatilia
Nawatakia Dominica Njema 😃...
Hivi karibuni kumeibuka Hoja nyingi juu ya uhalali wa Risiti za EFD, kwa sasa EFD ndio risiti maalumu ya Bidhaa kuuza na kununua popote pale Nchini. Lakini risiti hizi zina utata kutokana na uhalali wake.
TRA wana tovuti ya kuhakiki risiti hizi za EFD ambayo ni TRA RISITI lakini asilimia 80%...
Mkuu wa Mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema ni aibu Kumsumbua Waziri Mkuu kuja kutatua Changamoto wakati yeye Mkuu wa Mkoa Yupo.
Chalamila ameahidi kwamba Hilo halitajitokeza tena
=====
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ni aibu kumsumbua Waziri Mkuu kuja kusikiliza kero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.