mgomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgomo wa walimu hautakoma, tunaua watoto wetu

    Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge Walimu nao wamegoma Na mgomo haukutangazwa hadharani Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni wanayopewa na Serikali 1. Watoto wa shule wana muda mrefu wa kucheza tu Yaani walimu ikifika saa 4...
  2. D

    Naomba kuuliza hivi Azam kuna mgomo?

    Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
  3. Wafanyakazi wa SGR (Lot 1) wafanya mgomo, washinikiza Mkandarasi awalipe stahiki zao ikiwemo NSSF

    Wafanyakazi wa SGR - Lot 1 wameamua kufanya mgomo wakishinikiza malipo yao ya NSSF kuingizwa kwenye akaunti Pia soma ~Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF ~ Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa...
  4. Mafinga: Mgomo wa Wafanyabiashara waingia siku ya 4, RC Serukamba asema yeye hana majibu waulizwe waliogoma

    Wakati mgomo wa wafanyabiashara katika soko kuu Mafinga mkoani Iringa ukiinga siku ya nne nne leo, wafanyabiashara wa matunda, nafaka pamoja na samaki wamelalamikia wakisema mgomo huo unawaathiri kibiashara. Mgomo huo umesababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara wasio na maduka, wakisema...
  5. G

    Kuna mgomo wa daldala Makumbusho?

    Leo nimepita makumbusho stendi ya daladala hakuna magari yanayotoka. Magari yote yanapaki na hayapakii Abiria wameduwaa hawajui wafanye nini. Mwenye taarifa sahihi atujuze
  6. Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

    Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
  7. Tunashukuru Mgomo Kariakoo umekwisha salama

    Maduka Kariakoo yamefunguliwa wananchi wanachapa KAZI. Asanteni
  8. Mgomo umefika Mbagala waathirika ni kila mtu

    Yani nimetoka nyumbani kufufuata mahitaji yangu soko la Mbagala hakuna biashara zaidi ya wamachinga. Mbagala biashara zote nafaka, elektroniki madukaa mengine yote yamefunga. Madhara kwa wote Wafanyakazi, bodaboda, bajaji, guta(toyo) wasukuma mikokoteni, na watu mbalimbali hawana cha...
  9. Kumbe mgomo wa wafanyabiashara umefika mpaka Katoro!

    Nilifikiri utaishia Dar Es Salaam na Mwanza. Lakini imekuwa tofauti na nilivyofikiri. Nikiwa natokea mkoa fulani, leo saa nne Asubuhi, nimepitia Kariakoo Katoro mkoani Geita kwa lengo la kununua vifaa fulani. Sijafanikiwa. Maduka yote yamefungwa. Hiyo ni wazi kuwa nao wamegoma. Hali haipaswi...
  10. Majibu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuhusiana na mgomo wa Wafanyabiashara

    Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA
  11. Mgomo wa wenye maduka uko Mbagala Rangitatu Dar es Salaam.

    Mbagala Rangitatu wenye maduka hawajafungua siku ya leo 26/06/24, huu ni mfululizo wa vuguvugu la wafanyabiashara kugoma wakipinga baadhi ya tozo zinazofanywa na serikali kupitia mkusanyaji TRA.
  12. Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Naweza kusema kwamba, tunahatua kubwa sana kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya! Kodi na ama ongezeko lolote la kikodi litokanazo na bidhaa, humlenga moja kwa moja mlaji na siyo mfanya biashara! Kwa upande mwingine, maandamano ya majirani zetu, ni sahihi na siyo haya ya wafanyabiashara wa...
  13. Mgomo wa wafanyabiashara wahamia Katoro,Geita.

    Mgomo wa wafanyabiashara ulioanzia ,Kariakoo Dar ,leo wafanyabiashara wa Katoro Geita wameunga mkono ambapo maduka yote hasa ya soko la Kariakoo la jumla Katoro Geita yamefungwa yote ,hakuna huduma yoyote ,ni muda wa viongozi Sasa kujitathmini ,maana japo watanzania tunasifika kwa woga Ila...
  14. Kesho hakutakuwa na Mgomo

    Habari wakuu! Huenda ulikuwa mgomo wa siku tatu. Huenda siasa imeingilia suala hili Huenda pumzi imekata. Wachambuzi wa masuala ya migomo na maandamano wanaeleza kuwa mgomo huu wa wakariakoo mwisho unaweza kuwa Leo. Kesho biashara zitafunguliwa. Ñgoja tuone
  15. B

    Mgomo wa wafanyakazi na wananchi utakuwaje?

    Nawaza endapo wafanyakazi na wananchi kwa ujumla watajoini mgomo wa wafanyabishara unaoendelea hivi sasa nchini hali itakuwaje!!? Madai ya wafanyakazi; Madai ya wananchi; Nadhani kutachimbika nchi hii
  16. Mgomo wa maafisa Usafirishaji (Bodaboda) utafananaje?

    Bado nawaza siku hawa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje? Madai ya Maafisa; 1. Kamata kamata ya trafiki, 2. Bei ya mafuta kupanda, 3. Mikataba na wamiliki,
  17. Mgomo wa wafanyabiashara nchini

    Ndugu Zangu Wafanyabiashara. Nafahamu Maumivu Yenu. Hakuna Anayefungua Biashara Ili Afunge. Hakuna Anayepambana Ili Afeli. Hakuna Anayejitahidi Kupiga Hatua Ili Arudi Nyuma. Hata Sasa Naamini Mmejitoa Sadaka Kuonesha Hisia Zenu Za Maumivu Na Siyo Kwamba Mmetosheka Na Utafutaji. Maumivu Yenu...
  18. D

    Migomo Kariakoo: Serikali kuendelea kulea utamaduni wa kulinda wahalifu utakutokea puani

    Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine. Migomo yote ni wafanyabiashara kukataa maelekezo halali ya serikali ikiwa pamoja na kutotaka mfumo wa wazi unaobana wizi na...
  19. Update yanayojiri mgomo wa wafanyabiashara tanzania

    Wanajukwaa habari, Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya Tukiangazia dar Leo siku ya pili Huku mwanza nao wakianza leo Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao Vipi hari ya mtaani kwako?
  20. Mgomo wa Wafanya Biashara Mwanza

    Kuna Mgomo wa Wafanya Biashara unaendelea Mwanza sasa hivi, Mliopo Mwanza toeni update nini kinaendelea. Video nimeweka hapa Chini. ************************************************************************************************************ Update Kutoka Mwananchi Digital Siku moja baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…