Mgongo is an administrative ward in the Iramba district of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 13,041.
Serikali ya Awamu ya Sita imetoa jumla ya shilingi bilioni 10.8 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa jengo jipya la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD).
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Mhe. Balozi, Dkt. Mpoki Ulisubisya ameyasema...
Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji...
Wakuu habari.. mtoto wa miaka miwili na nusu anakalia mgongo kulingana na changamoto za ukuaji anazopitia kama nilivowahi kueleza hapo awali.
Ombi langu wataalamu hasa physiotherapist hii hali itabadilika baadae ama laa maana bado hajaweza kusimamia'kutambaa Wala kutembea.😭
#Ahsanteni
Habari wanajf,
Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa.
Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu...
Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
Kwema Jf Doctors?
Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?
Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili.
Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu ya mgongo upande wa kushoto, chini kidogo. Hali hii inanipelekea kutoshika vizuri kwa muda mrefu...
Ushindi mwingine ni kufahamu udhaifu wako ni upi na uimara wako uko wapi ukijua hilo kwa sehemu wewe ni mshindi na itakusaidia kujua nani anataka kutumia udhaifu wako kwa manufaa yake.
Kuna watu ni wajanja sana wanachokifanya ni kukusoma tu kujua eneo lako dhaifu na kufuatilia je unafahamu...
ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakata😀 na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye pesa wanazaa naye ili wapate maisha kupitia yule mtoto wake
Andika na hii ya mwisho, wapo wadada...
Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati,
Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.
Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa...
Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika.
Chukulia umeteuliwa kuongoza Wizara hiyo kuanzia leo, unafikiri ni mambo gani mapya utafanya tofauti na ilivyo sasa?
Pia...
Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya.
Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wanaoishi kwa kutumia dawa za kutuliza maumivu kila siku iendayo kwa Mungu,mara...
Nimekutana na hii discussion hapa ikidai kwamba Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la makanisa na wachungaji. Hali hii imeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa matumizi mabaya ya makanisa kwa ajili ya utakatishaji fedha.
Hapa wadau walikua wanasema hizi ni baadhi ya njia...
Ninaonesha dalili zifutazo
1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto
2. Maumivu ya mgongo
3. Maumivu ya kichwa
4. Kuhisi kama unachanganyikiwa
Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya Ifakara, Ilionesha kuwa Watoto wanaozaliwa na kasoro ni 5.6 % kubwa kuliko wastani wa Dunia nzima ambao...
JF doctor habari.
Week iliyopita jumanne nilijikuta napata uchovu mkubwa sana, na maumivu kwenye mabega.
Uchovu ulidumu siku mbili tu, then nikaanza kupata maumivu kiunoni na mgongoni kwenye spinal cord, yaani maumivu yanapokezana, yanaweza anza kiunoni then baadae yanaacha yanahamia mgongoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.