Mgongo is an administrative ward in the Iramba district of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 13,041.
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya mshitakiwa Sabaya kuendelea kuwa mgonjwa.
Jana Novemba 3 mwaka huu mahakama hiyo iliahirisha shauri...
Watanzania wametakiwa kuchukua tahadhari kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ulijitokeza katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC).
Kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Aifelo Sichwale amesema ugonjwa huo wa mlipuko husababishwa na bakteria wanaojulikana kama...
Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini.
Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la...
Wazee wa Pochi NENE mpo?
Wavulana wengi wana tabia ya kuweka mkoba (WALLET) yenye inchi nusu au zaidi ikitegemeana na wingi wa vitu vilivyopo kwenye mkoba huo kwenye mfuko wao wa nyuma wa nyonga ambao unaweza kuleta maumivu ya mgongo, kiuno, misuli, mifupa na mbali zaidi kuleta madhara kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.